Ndege hatari 100 za IDF zafanya mashambulizi makubwa na kusambaratisha maeneo 120 yaliyo ngome kuu za Hezbollah Lebanon kusini

Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.

Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Huwezi ishi vyema na majirani magaidi.
Either upambane ama wakumalize
 
Mabeho acha apotee ni mshenzi
 
Huna akili wanapigwa sio kwauislam wao nikwaugaidi wao huko Qatar, kuwait, Bahrain kuna waislam kibao nahukuti wanapigwa
 
Kwani hao Hezbollah wamefanya nini chamaana kwa Israel
Hapakaliki miji ya israel kaskazini wanakopakana na lebanon,raia laki tatu + wamehamishwa
Sasa hivi israel inajificha nyuma ya umoja wa mataifa hapo mpakani kwenye blue line,wakiogopa kipondo cha hizbullah
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    483.3 KB · Views: 1
Kobazi kwanini mnapenda ubishi?
Jamaa zako wanajificha nyuma ya umoja wa mataifa hapo mpakani lebanon, wanamuogopa hizbullah, mkong'oto jazz band
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    483.3 KB · Views: 1
Hamas angalia walikaza fuvu ila Hezbollah naona ni mchelemchele,
 
Mwandishi ; Shekhe kundecha ulitoa taarifa hapa kuwa ndege zote za Yahudi zimelipuliwa

Shekhe Kundecha; eeenh ndio ndugu mwandishi ila hizo zote mia nazo zimetunguliwa

Mwandishi; lakini zimerudi salama Shekhe.

Shekhe kundecha ; wee mwandishi utakua yahudi wewe me nna vyanzo vyangu vya uhakika

Mwandishi; ni vyanzo gani vya taarifa ulivyonavyo shekhe Kundecha?

Shekhe kundecha; MSIKITINI

Mwandishi; Lahaulaaaaaaa
 
Hivi nyie watu wa dini mbona mnafundishwa ugoro hivi halafu mnakubali?

Halafu nyie waislamu, mbona mnaaminishwa kana kwamba ''Yahudi'' siyo binadamu?

Jinga sana nyinyi!
Wanampinga Myahudi kwa nguvu zote sababu ndiyo wanamjua Mungu wa kweli Yehovah, wao wamecopy na kupesti tu na wayahudi walimuumbua Muddy alipodai yeye ndiyo Masihi aliyetabiriwa ktk Torati na hata wayahudi (watu wa kitabu) watathibitisha, baada ya hapo akajenga uadui nao mkubwa na amewarithisha wafuasi wake kuwaagiza wawaue wayahudi.
 
Hapakaliki miji ya israel kaskazini wanakopakana na lebanon,raia laki tatu + wamehamishwa
Sasa hivi israel inajificha nyuma ya umoja wa mataifa hapo mpakani kwenye blue line,wakiogopa kipondo cha hizbullah
Umeandika pumba sana, mapigano kwasasa yapo ndani ya Lebanon na raia wake wamekimbia pia hiyo miji ya kusini, subiri baada ya vita ndio uje kujigamba hapa kuliko huu ugoro ulioandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…