Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Huwezi ishi vyema na majirani magaidi.Hamna jipya hapo, ungefuatilia vita ya Hezbollah na Israel 2006, ungedhani Lebanon itafutika na kubaki jangwa kwa jinsi IDF alishambulia.
Israel aache ubabe wa kipuuzi ME, aishi vyema na jirani zake hilo ndilo suluhisho.
Either upambane ama wakumalize