INAUZWA Ndege hii inauzwa

INAUZWA Ndege hii inauzwa

Hivi hii kitu ni wewe Mmiliki unajifunza kuendesha au unaajiri Rubani?.
 
Umeongea utani but hii kitu inawezekana unanunua train iliyokufa (mabehewa) then unaagiza stream engine nje,hayo mabehewa unafungwa sofa Kali,AC na ma udambwi udambwi mwingi unakuwa unapigia biashara
tena unaifanya kuwa 5 🌟 mobile hotel au restaurant.
Hii idea huwa inakuja akilin nikiona mabehewa au bas za kizamani yametelekezwa tu
 
tena unaifanya kuwa 5 🌟 mobile hotel au restaurant.
Hii idea huwa inakuja akilin nikiona mabehewa au bas za kizamani yametelekezwa tu
Kabisaa Mkuu,South ipo hii Strain ya kitalii,Tena hapa Tz fursa nzuri maana hata reli nyingi hazitumiki Tena so hakuna usumbufu
 
Back
Top Bottom