Ndege ikiwa angani, rubani akasinzia usalama unakuwaje?

Ndege ikiwa angani, rubani akasinzia usalama unakuwaje?

Rubani wa ndege ya Pakistan airlines PIA alikutwa akilala fofofo huku akikoroma business class baada ya kumuachia rubani msaidizi aingoze ndege. Ndege iyo ilikuwa inatoka Islamabad kwenda London. Abiria mmoja aliyekuwa business class ambayo ilikuwa na abiria wachache kumpiga picha.
Tukio hilo lilitokea 2018.

View attachment 3057892
Ila jamaa kavuta na shuka kabisa kama yuko home kwake🤣🤣🤣
 
Ndege zinakuwa na autopilot mode, pilot anaset hii mode kama kila kitu kipo sawa, hali ya hewa ikizingatiwa zaidi. Autopilot inasetiwa na rubani, inazingatia speed, height na direction ya ndege

Ndege za siku hizi zina manoeuvre nyingi, zinawasaidia marubani hadi kutua japo ni bila control ya rubani ni ngumu kupaa na kutua kwa kutumia autopilot.
 
Rubani wa ndege ya Pakistan airlines PIA alikutwa akilala fofofo huku akikoroma business class baada ya kumuachia rubani msaidizi aingoze ndege. Ndege iyo ilikuwa inatoka Islamabad kwenda London. Abiria mmoja aliyekuwa business class ambayo ilikuwa na abiria wachache kumpiga picha.
Tukio hilo lilitokea 2018.

View attachment 3057892
Nadhani mleta mada anazungumzia nap sio sleep. Yaani rubani kusinzia ghafla bila kutegemea. Jibu ni kwamba ndege itayumba na ataamka. Autopilot nadhani inakua engaged na haiji engage
 
Tulifundishwa kua ndege inaongozwa na super computer, hivyo rubani ana mchango lakini anasaidiwa sana computer maana kwa akili ya kawaida huwezi kucontrol kitu inaenda buku km/hr.

Kwahiyo hiyo auto pilot inawasaidia sana hata kupata muda kupiga story ama kulala kabisa, ila mwisho wa siku hawatakiwi kulala all the time.
Kuna kuda inatakiwa wawe active na kuna muda wanaiachia computer ifanye yale.
 
Hao marubani Ni kanyaboya tu. Ndege inajiendesha yenyewe tu kupitia autopilot
Kwa kiwango kipi na ukomo upi?Hata baiskeli muendeshaji anaweza kuachia "stelingi"(sijui kama baiskeli ina stelingi)na ikajiongoza.Swali;Ndege hujipaisha yenyewe?Vipi kuhusu kutua?Mawasiliano na wa viwanjani/vituo inajifanyia yenyewe?
 
Back
Top Bottom