Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
NdioUlisha wahi kulima mazao? 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioUlisha wahi kulima mazao? 😀
Unaweza kukaa mwezi mzima bila kubet na ligi zote zipo active?Huyo ni mimi mkuu nabeti mpaka tennis
Hapana mkuu haijawahi kunitokea labda niwe porini au jela.Unaweza kukaa mwezi mzima bila kubet na ligi zote zipo active?
Unapanda mbegu moja au mbili then unategemea uvune mahindi lundo? hujabeti hapo ? other factors za mvua na mbolea pembeni (Uchambuzi wa vikosi 🤣 🤣 )Ndio
Unahitaji maombi Kwa kwel! Sema kama inakupa hela sio mbaya kupata na kukosa ni majibuHapana mkuu haijawahi kunitokea labda niwe porini au jela.
Ni mtazamo wakoUnapanda mbegu moja au mbili then unategemea uvune mahindi lundo? hujabeti hapo ? other factors za mvua na mbolea pembeni (Uchambuzi wa vikosi 🤣 🤣 )
(ufafanuzi niliopewa na Afisa mwandamizi wa ubashiri na mipango mkakati). Hitimisho kubet ni kwa kila mtu
Hela zenyewe mara chache ila zipoUnahitaji maombi Kwa kwel! Sema kama inakupa hela sio mbaya kupata na kukosa ni majibu
Madrid na Mcity UEFA unampa nani ashinde?Hela zenyewe mara chache ila zipo
Sifatagi timu mazima huwa nabet magoliMadrid na Mcity UEFA unampa nani ashinde?