Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Maandalizi kabambe yamepamba moto ili kufanikisha hili tukio la kihistoria, ambapo Mkenya anategemewa kukimbia mbio za masafa marefu kilomita 42 kwa ndani ya masaa mawili, dunia yote inasubiri kwa hamu kuona hilo likitendeka, yupo tayari kudhihirisha kwamba pingamizi kwa binadamu lipo tu kwenye akili zetu ila mwili unaweza kufanya chochote ukidhamiria.

Ameondoka na timu yake kwa usafiri wa ndege ya kifahari iliyoandaliwa kwa ajli yake, kuna tajiri kubwa duniani limewekeza kwa hali na mali kuona jamaa akifanikisha. Hii ni chachu kwenye mawazo na fikra ya mabilioni ya vijana duniani, itawapa wengi hamasa kwamba inawezekana, linawezekana, itawezekana.... cha msingi ni kukomaa tu, ukidhamiria utafanikisha, iwe kwenye biashara, elimu, ujuzi wala chochote kile.....

Dah ila kwa kweli hii noma, nikikumbuka mara kadhaa nimehusika kwenye nusu marathon kilomita chache tu 21km na huwa nachukua zaidi ya hayo masaa mawili, na nikifika nipo hoi natamani nife.

The chartered Gulfstream G280 jet that flew out world marathon record holder Eliud Kipchoge and his pace makers to Austria lands at the Eldoret International Airport last night before it took off to Vienna via Cairo. PHOTO |JARED NYATAYA |

EKIP.jpg

The chartered Gulfstream G280 jet that flew out world marathon record holder Eliud Kipchoge and his pace makers to Austria lands at the Eldoret International Airport last night before it took off to Vienna via Cairo. PHOTO | JARED NYATAYA | NATION MEDIA GROUP

Eliud Kipchoge and his technical staff are expected to land in Vienna Tuesday morning in five-star fashion.
The Olympic marathon champion and world record holder was Monday night treated to the affluence that one of Great Britain’s richest persons, Sir Jim Ratcliffe, is accustomed to.
The efficient Kenya Airport Authority (KAA) staff at the Eldoret International Airport last night made meticulous arrangements to receive and see off Sir Jim’s Gulfstream G280, which was flown by two pilots from his British base to fly Kipchoge to the Austrian capital.
It is in Vienna where Kipchoge, 34, is scheduled to attempt to run the marathon in under two hours, with the “INEOS 1:59 Challenge” bankrolled by Sir Jim, owner of chemical firm INEOS.
A quick check reveals that the Gulfstream, registration number M-INTY was registered in Britain on March 4, 2016, and its last sightings have been on the British isles, the abode of Sir Ratcliffe, a running enthusiast.
The jet is valued at $24.5 million (Sh2.4 billion) and was expected to make a fuelling stop at Luxor, Egypt, before proceeding to Vienna.

Ila HIV malaria wao ndio husaidia kila siku. Hata mikopo wanatupatia wao
 
Hajasema uongo. Africa is a testing ground. Doctor mwafrika anakufa kwa ebola, mzungu hafi anatibika.
Hii yote ni miradi ya mabeberu, Ebola HIV chanzo cha magonjwa yote haya wanasema ni nyani lakini hao nyani wapo Africa kwa maelfu ya miaka na waafrika wamekua miaka yote hiyo wakikaa nao kama pets na hawajawahi kupata Ebola wala HIV ila hao nyani wameanza mchakato wa kusambaza viruses vya Ebola na HIV miaka hii ya hivi karibuni.
 
Ila HIV malaria wao ndio husaidia kila siku. Hata mikopo wanatupatia wao
Akili kisoda kweli, unajua ni kiasi gani cha rasilimali wameliibia hili bara kwa miaka zaidi ya 200 mfululizo? Yaani walikua wakiiba rasilimali mpaka wakaona wajenge miundombinu ya kurahisisha wizi huo na ndio railways na ports unazoziona
 
Kawaida ya watanzania...sana sana wale wenye kile chama flani...kila kitu wanalaumu mabeberu...hta mkeo akikuacha pia utawalaumu mabeberu
Hii yote ni miradi ya mabeberu, Ebola HIV chanzo cha magonjwa yote haya wanasema ni nyani lakini hao nyani wapo Africa kwa maelfu ya miaka na waafrika wamekua miaka yote hiyo wakikaa nao kama pets na hawajawahi kupata Ebola wala HIV ila hao nyani wameanza mchakato wa kusambaza viruses vya Ebola na HIV miaka hii ya hivi karibuni.
 
Kawaida ya watanzania...sana sana wale wenye kile chama flani...kila kitu wanalaumu mabeberu...hta mkeo akikuacha pia utawalaumu mabeberu
😆😆😆😆😆😆 Ninyi wakenya hampaswi kuwazodoa sababu hata jina Kenya wamelitunga wao, yaani mnatia aibu kutungiwa jina la nchi na wageni, ndio maana ardhi yote yenye rutuba ni mali yao

Mnawasingizia Wazungu wakati tatizo ni serikali zenu
 
Hii yote ni miradi ya mabeberu, Ebola HIV chanzo cha magonjwa yote haya wanasema ni nyani lakini hao nyani wapo Africa kwa maelfu ya miaka na waafrika wamekua miaka yote hiyo wakikaa nao kama pets na hawajawahi kupata Ebola wala HIV ila hao nyani wameanza mchakato wa kusambaza viruses vya Ebola na HIV miaka hii ya hivi karibuni.
Tunahitaji kuwa na wataalamu wa kujitegemea kuzichunguza hizi wanazoziita CHANJO. Kama sikosei EBOLA ilianza hivi kwa kupewa watu chanjo
 
Km vile carrier corps sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ninyi wakenya hampaswi kuwazodoa sababu hata jina Kenya wamelitunga wao, yaani mnatia aibu kutungiwa jina la nchi na wageni, ndio maana ardhi yote yenye rutuba ni mali yao

Km vile carrier cops sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
😆😆😆😆 Walipaita hivyo ila sisi wenye nchi tukabadili na kukataa legacy yao na kupaita Kariakoo, ninyi mlikubaliana nao na kuwaona wao ndio wenye akili kuwazidi wanaume wote wa Kenya opps Kirinyaga 😆😆😆
 
Heheee...mlishindwa kutamka km vile walivyoshindwa kutamka wao..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Walipaita hivyo ila sisi wenye nchi tukabadili na kukataa legacy yao na kupaita Kariakoo, ninyi mlikubaliana nao na kuwaona wao ndio wenye akili kuwazidi wanaume wote wa Kenya opps Kirinyaga [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ngoja kwanza...usitoke nje ya mada...naskia jwtz wameshawazika hao wahanga

Back
Top Bottom