Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

Ndege maalum iliyoondoka na Kipchoge ambaye anakwenda kuweka rekodi mpya duniani

Ni nchi 6 ambazo zilibadilisha majina yao baada ya kupewa na Mkoloni
1. Congo -> Zaire (baadaye waka rudia jina congo)
2.Upper volta - > Bukinafaso
3. Gold Coast - > Ghana
4. Northern Rhodesia - > Zambia
5. Southern Rhodesia - > Zimbambwe
6. Tanganyika+ zanzibar - > Tanzania
Tanzania chini ya Mw. Nyerere ilikuwa ya kwanza kuondoa jina la mkoloni kwa nchi huru yao.
Miafrika mingine bado wanashikilia majina walio pewa na mkoloni
Hapo pa Tanzania bro umetudanganya mchana kueupe Tanganyika jina la mkoloni, Zanzibar jina la mwarabu/mkoloni so you combined two colonialistic terms to form Tanzania... Danganyika/Tanganika/changanyika Yani mnachanganyikiwa kwa kila Jambo. Then you guys are the only country to have been colonised by 3 powers Arabs, Germans and British resulting to your poor state of mind literally and figuratively angalia mpaka how you are fairing economically.
 
Hv watu wanavyolalamika wazungu walikuja kutuibia rasilimali africa what made our fore fathers wasiende ulaya wao wakaibe rasilimali wazilete Africa kuendeleza bara letu, au america ulaya kote huko hakukuwa na rasilimali Africa tu ndo zipo! Tuache kulalama wazee wetu walikuwa wamelala usingiz na sasa bado tumelala,
Kama mtu alipewa kioo akabidilishana na diamond unamlaumu nani akili yako ndo imekuonesha kioo ni kizuri deal with it,
Tuacge kulalama inachotkiwa turekebeshe tunapoweza japo itachukua yrs, unawalaumu ila kila kitu magari meli ndege mpka wembe unatoka kwao na unanunua,
Tungeanza kutatua changamoto zetu ina our way ili tusiagize vitu china angalau tungeanza taratibu,
But we are hopeless hakuna kubwa tunaloweza kufanya zaidi ya kulaumiana na siasa za kukomoana over
 
[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️[emoji1381]‍♂️
 
Tumeaminishiwa huku kuwa Nchi ya Asali na Maziwa haina mapungufu haswa ya maji REDEEMER. Vipi? Njoo ufanye mapambio

Na sisi waafrica si tungeneze ugonjwa wetu tuwapelekee ulaya na america wapungue tuwatawale,
What we can do better ni kulalamika na kukiomoana waafrica ndo tulivyo, zama hz bado tunashare maji kisimani na punda halaf tunalaumu wazungu ambao hadi vyandarua wanatupa msaada, tuoneshe hata umwamba tu wa kutengeneza only source of energy tuisambaze africa nzima tuwakomoe waarabu na wazungu na wachina wanaotuzia mafuta nyaya za umeme na uchafu mwingine ,
TUMELALA tupambane na siasa za kujazana chuki tu kwamba flni ndo mbaya ndo tunachoweza
 
Maandalizi kabambe yamepamba moto ili kufanikisha hili tukio la kihistoria, ambapo Mkenya anategemewa kukimbia mbio za masafa marefu kilomita 42 kwa ndani ya masaa mawili, dunia yote inasubiri kwa hamu kuona hilo likitendeka, yupo tayari kudhihirisha kwamba pingamizi kwa binadamu lipo tu kwenye akili zetu ila mwili unaweza kufanya chochote ukidhamiria.

Ameondoka na timu yake kwa usafiri wa ndege ya kifahari iliyoandaliwa kwa ajli yake, kuna tajiri kubwa duniani limewekeza kwa hali na mali kuona jamaa akifanikisha. Hii ni chachu kwenye mawazo na fikra ya mabilioni ya vijana duniani, itawapa wengi hamasa kwamba inawezekana, linawezekana, itawezekana.... cha msingi ni kukomaa tu, ukidhamiria utafanikisha, iwe kwenye biashara, elimu, ujuzi wala chochote kile.....

Dah ila kwa kweli hii noma, nikikumbuka mara kadhaa nimehusika kwenye nusu marathon kilomita chache tu 21km na huwa nachukua zaidi ya hayo masaa mawili, na nikifika nipo hoi natamani nife.

The chartered Gulfstream G280 jet that flew out world marathon record holder Eliud Kipchoge and his pace makers to Austria lands at the Eldoret International Airport last night before it took off to Vienna via Cairo. PHOTO |JARED NYATAYA |

EKIP.jpg

The chartered Gulfstream G280 jet that flew out world marathon record holder Eliud Kipchoge and his pace makers to Austria lands at the Eldoret International Airport last night before it took off to Vienna via Cairo. PHOTO | JARED NYATAYA | NATION MEDIA GROUP

Eliud Kipchoge and his technical staff are expected to land in Vienna Tuesday morning in five-star fashion.
The Olympic marathon champion and world record holder was Monday night treated to the affluence that one of Great Britain’s richest persons, Sir Jim Ratcliffe, is accustomed to.
The efficient Kenya Airport Authority (KAA) staff at the Eldoret International Airport last night made meticulous arrangements to receive and see off Sir Jim’s Gulfstream G280, which was flown by two pilots from his British base to fly Kipchoge to the Austrian capital.
It is in Vienna where Kipchoge, 34, is scheduled to attempt to run the marathon in under two hours, with the “INEOS 1:59 Challenge” bankrolled by Sir Jim, owner of chemical firm INEOS.
A quick check reveals that the Gulfstream, registration number M-INTY was registered in Britain on March 4, 2016, and its last sightings have been on the British isles, the abode of Sir Ratcliffe, a running enthusiast.
The jet is valued at $24.5 million (Sh2.4 billion) and was expected to make a fuelling stop at Luxor, Egypt, before proceeding to Vienna.

😆😆😆😆 Walipaita hivyo ila sisi wenye nchi tukabadili na kukataa legacy yao na kupaita Kariakoo, ninyi mlikubaliana nao na kuwaona wao ndio wenye akili kuwazidi wanaume wote wa Kenya opps Kirinyaga 😆😆😆

Mbona Mkabadili kutoka Tanganyika mkajiita Tanzania kwa sababu ya Muarabu?
 
Afrika hakuna wa kumcheka mwenzie likija kwa hili la wazungu, maana hata mipaka walichora wao, bila wao hakungekua na Tanganyika, wao ndio waliwapa hilo jina Tanganyika, sema tu limebuniwa kwa kutumia maneno ya Kiswahili Tanga na Nyika, ila wao ndio walisema litumike, wao ndio waliwekeza na kutengeneza kila mlicho nacho, hadi katiba, peza zenu madafu, hamna chochote kilichotokana na nyie wazembe.
Mwarabu pia aliwabaka sana nyie, ikiwemo Dar majina amebuni yeye dar ("house"), and the Arabic es salaam ("of peace")
Leo hii hakuna Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora walioshikilia uchumi wa Tanzania, wote waarabu na wahindi, bure kabisa.

Napendanga vile wee huvua hawa wasee nguo hadi ndethe yani.
 
1961
View attachment 1226599

1964
View attachment 1226600

Nani kaiba idea ya mwenzake?

Ni coincidence hizo ngao zifanane?
Ni coincidence hiyo milima ifanane?
Ni coincidence hizo creatures zipose hivyo?
Ni coincidence hiyo plantations ifanane?

Mmeiba coat of arms ya Tanzania huo ndio ukweli mchungu japo yenu ni ugly 😂😂😂

Dude, this is the standard design of most court of arms around the world and I see no semblance in ours vs yours. Yours looks lazy and naive, ours looks like it was done by a professional. See courts of arms of other countries around the world.

Uganda
559px-Coat_of_arms_of_Uganda.svg.png

Australia
250px-Coat_of_arms_of_Australia_%281908%E2%80%931912%29.svg.png

United Kingdom
2000px-Royal_Coat_of_Arms_of_the_United_Kingdom.svg.png

France

images

Nigeria

2000px-Coat_of_arms_of_Nigeria.svg.png

Acha sifa za kijinga
 
Ni nchi 6 ambazo zilibadilisha majina yao baada ya kupewa na Mkoloni
1. Congo -> Zaire (baadaye waka rudia jina congo)
2.Upper volta - > Bukinafaso
3. Gold Coast - > Ghana
4. Northern Rhodesia - > Zambia
5. Southern Rhodesia - > Zimbambwe
6. Tanganyika+ zanzibar - > Tanzania
Tanzania chini ya Mw. Nyerere ilikuwa ya kwanza kuondoa jina la mkoloni kwa nchi huru yao.
Miafrika mingine bado wanashikilia majina walio pewa na mkoloni
Hilo jina sio la Mzungu mzee, hilo ni jina la kiafrika kabisa na wala halikubadilishwa sababu lilikuwa la Mzungu bali sababu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Hilo jina ndio linatumika kwenye Lake Tanganyika world's most deepest lake kwa nchi zote zinazopakana nalo, Burundi, DRC na Zambia na pia kuna wilaya inaitwa Tanganyika bila kusahau hata DRC kuna province inaitwa Tanganyika province na bado ni jina rasmi la kuongelea Tanzania Bara kama hutaki kuijumuisha Zanzibar.
 
Hata Congo ni Jina Kongo la wa bemba..Lakini nimekuelewa
 
Kenya = Kīrīma kīa Mwene nyaga (Mountain of Gìkuyu god) Shortened to Ķīrīnyaga and mis spoken by englishmen as "Keenya"
Kiima Kiinya spoken by Brits as Keenya...hata mwendawazumu ataona kuwa mzungu alifika kwa wakamba Kwanza kabla kwa mkikiyu akili timamu😁😁😁 ambaye alizuia mzungu kwa muda mrefu Sana kuingia The now defunct Central Province. Btw you can see My.Kenya from ukambani . Umesomea wapi gikuyu?
 
😁😁😁 Yani dunia ya kisasa technology inatumika kila mahali hata riadha...man is evolving and fast. Hii marathon najua wadau/sponsors Ni wengi na hela itakayojengwa Ni nyingi bila kusahau bendera na jina tajika Ni Kenya. We are on the world map again.

depositphotos_62523199-stock-photo-hand-making-ok-sign-kenya.jpg
 
Dude, this is the standard design of most court of arms around the world and I see no semblance in ours vs yours. Yours looks lazy and naive, ours looks like it was done by a professional. See courts of arms of other countries around the world.

Uganda
559px-Coat_of_arms_of_Uganda.svg.png

Australia
250px-Coat_of_arms_of_Australia_%281908%E2%80%931912%29.svg.png

United Kingdom
2000px-Royal_Coat_of_Arms_of_the_United_Kingdom.svg.png

France

images

Nigeria

2000px-Coat_of_arms_of_Nigeria.svg.png

Acha sifa za kijinga
HEHEHE
 
😁😁😁 Yani dunia ya kisasa technology inatumika kila mahali hata riadha...man is evolving and fast. Hii marathon najua wadau/sponsors Ni wengi na hela itakayojengwa Ni nyingi bila kusahau bendera na jina tajika Ni Kenya. We are on the world map again.

😁😁😁 Yani dunia ya kisasa technology inatumika kila mahali hata riadha...man is evolving and fast. Hii marathon najua wadau/sponsors Ni wengi na hela itakayojengwa Ni nyingi bila kusahau bendera na jina tajika Ni Kenya. We are on the world map again.View attachment 1228054

IMG_20230324_220917.jpg

🦁🏆💜​
 
Back
Top Bottom