REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hahaha rudisha makanyagio hapa 👇👇👇Pointi ya msingi ni nani kati yetu bado anaateseka kwenye umaskni baada ya kunyonywa na mabeberu tangu enzi zileee....inatia huruma mpaka leo hamjajikomboa, mpo maskini wa kutupwa ndani ya LDC, na hakuna Mtanganyika (jina mlilopewa na mbeberu) ambaye amefaulu kutajwa kwenye umiliki wa uchumi wa nchi.
Mzungu hoyee