REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hakuna mtanzania anaelipa kodi ya nyumba kwa mhindi, muarabu au mchina, Kenya Nairobi na Estates za kutosha zinamilikiwa na wageni, wachina wanakuja wanawang'oa kwenye ardhi yenu na kuwapangishia nyumba kwenye nchi yenu wenyeweAliyepaniki ni wewe umeandika insha, jina Tanga nyika ni la Kiswahili, lakini aliyeagiza litumike ni Muingereza, soma historia ya nchi yako.
Nchi yenu haina tajiri mweusi ndani ya kumi bora wanaoimiliki nchi.
Tanzania kwa Dar na mikoa yote 90% ya maeneo yote ya CBD wamiliki wake ni watanzania kupitia NHC hata skyscrapers Tanzania majority zinamilikiwa na watanzania sio Kenya skyscrapers almost zote za wageni.