REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hahaha unaonekana kama una matatizo ya akili, hivi mzungu anaweza kuja Africa na jina 'Tanganyika' kwenye briefcase? Hilo ni jina la kibantu maana yake ni lazima alilikuta tayari kutoka kwa wenyeji, yeye kaja kaliendeleza, very simple logicHatimaye umeingia nilipotaka ukae, maamuzi ya kuitwa Tanganyika yalikua ya Muingereza baada ya kumtoa Mjerumani, nyie hamkua na usemi wowote, hivyo hamuna jeuri ya kumcheka yeyote maana mababu zenu nao walikua mazombi wa kuruhusu ardhi yao igombaniwe na kupewa majina.
Hiyo Dar unakoishi mabandani jina lake ni la muarabu ambaye leo hii akiwa na muhindi wanashikilia uchumi wenu, ndio matajiri kumi bora nchi yote.
Ni tofauti na kuja kutoka ulaya na kukuta kichuguu kinaitwa Karinyaga na kuligeuza hilo jina na kuiita 'Kenya' jina ambalo halikuwepo kabisa hapo kabla na wala halina mantiki yeyote kimaana wala kifasihi na ninyi mlivyo mapoyoyo hata baada ya kupata Uhuru mkaendelea nalo kulitumia huku Muingereza akizidi kumiliki ardhi yote yenye rutuba ya Kenya
Harambee nayo Muhindi ndio mtunzi, mmejaribu kuandamana kupinga hilo neno la kihindu la kipagani lakini wapiii? Harambee ni mungu wa kihindi na ndio maana top 5 richest men in Kenya are Indians mpaka national team mmeipa jina la mumgu wa kihindi 😂😂😂😂