Ndege mbili zaanguka Hifadhi ya Mikumi

Mungu ni mwema
Kama kulikuwa na watu wana mbinumbinu za kufanya jambo, hawakuweza maana ajali mbili za ndege eneo moja kwa tofauti ya masaa ni zaidi ya coincidence.

Mungu ni mwema sana
 
Wanakwepa kusema ukweli. Kiwanja kibovu hasa wakati huu wa mvua.
Sasa kiwanja kuwa kibovu tena ..sema hivi vindege vidogo vingi ni scraper /used na vibovu bovu sidhani ukaguzi mzuri hufanyika kwenye hivi vindege..imekua too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…