Ndege nyingine ya India yapata hitilafu angani, yashuka kwa dharura Hong Kong

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Shirika la Ndege la India (Air India) limesema ndege yake namba AI315 imelazimika kurejea jijini Hong Kong baada ya kukutana na changamoto ya hali ya hewa isiyo rafiki.

Shirika la Habari la Associated Press limeripoti leo Jumatatu Juni 16, 2025, kuwa ndege hiyo aina ya Boeing 787 Dreamliner iliyokuwa ikisafirisha abiria kutoka Hong Kong kwenda New Delhi nchini India imelazimika kurejea Hong Kong leo saa 7 mchana (Saa za Hong Kong).

Mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege Hong Kong zimesema ndege hiyo ambayo ilitua Hong Kong salama, ilifanyiwa ukaguzi na kuruhusiwa kubeba abiria kwenda India hata hivyo, lengo hilo halikufanikiwa baada ya kukutana na changamoto angani.
“Imelazimika kurejea na kutua Hong Kong kwa sababu za kiusalama,” imeeleza taarifa ya mamlaka hiyo

===

HONG KONG — An Air India flight returned to Hong Kong on Monday shortly after takeoff due to a midair technical issue, days after another of the airline’s flights crashed and killed at least 270 people.

Air India said in a statement that the New Delhi-bound plane landed in Hong Kong safely and was undergoing checks “as a matter of abundant precaution.” Airport Authority Hong Kong said in a separate statement that flight AI315 returned to the southern Chinese city’s airport around 1 p.m.

The plane was a Boeing 787 Dreamliner, the same model as the London-bound flight that struck a medical college hostel in a residential area of the northwestern Indian city of Ahmedabad minutes after takeoff on Thursday. The crash killed 241 people on board and at least 29 on the ground. One passenger survived.

The flag carrier of India said alternative arrangements have been made to fly the affected passengers to their destination at the earliest convenience

india.png

​
Source: CTV NEWS
 
Saa100 hana ziara ya kwenda India siku za karibuni?
 
Wao kama siso tu, hawazingatii matengenezo yanayoshauriwa na watengenezaji wa hizo ndege.

Scheduled preventive maintenance ni muhimu.
 
Back
Top Bottom