Ndege nyingine ya Urusi yapigwa chini Bakhmut, zitaisha hizi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April.
Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping of Forces of the Armed Forces of Ukraine, in a comment to Ukrainska Pravda; "Edelweiss" Brigade on FacebookDetails: According to Cherevatyi, the Alligator was destroyed with the use of a Piorun MANPADS on the Bakhmut front near Berestove.

The "Edelweiss" Brigade also posted a video on their Facebook page.

Background: In its evening report on 5 April, the General Staff stated that Ukrainian defenders had destroyed a Russian Alligator Ka-52 helicopter on the eastern front.

Kama uwezi kutofautisha baina ya ndege na helicopter, who can take you seriously??

Halafu nilisha kwambia kwamba media ya Ukrainska PRAVDA wanashirikiana na URL ya kampuni ya William Gates ku-propagate propaganda za kibuni tu including make believe video clips na photos za kuonyesha Ukraine itashinda vita hii.

Huwezi kuamini fedha ambazo Serikali ya Merikani inaziunguza kwa kulipa MSM na social media nchini mwake,Uingereza,Australia na Ujerumami ili kujaribu kuwazuga raia wa mataifa hayo wakiwa na lengo la kuipandisha chati Ukraine ili Mabunge yao yakubali kuongeza fedha lukuki za walipa kodi kununulia silaha na kunifaisha viwanda vya kuunda silaha ambavyo majority wa share holder ni retired military Generals, retired President na ma-tycoons.

Mbinu wanazo tumia kupewa pesa nyingi kutoka Serikalini ni kuvitumia vyombo vya habari kudanganya kwamba "Ukraine is almost winning the war" kwa hiyo wana hitaji fedha na silaha zaidi.

Sasa tuje kwenye suala la uhuru wa kusema chochote mradi huvunji sheria: Utashangaa kuona Taifa linalo jisifia sana Duniani kwa kutetea haki za Binadamu na kulinda uhuru wa vyombo vya habari Duniani, ndilo lilikuwa la kwanza kufukuza vyombo vya habari vya Urusi na Uchina nchini Merikani wakati vita inadelea huko Ukraine - hawataki Wamerikani na Dunia wajue ukweli kwa kile kinacho endelea nchini Ukraine inayo saidiwa na US/NATO kwa kificho, walihakisha channel zote za media za Urusi wanazi muzzle.
 
Kama uwezi kutotafautisha baina ya ndege na helicopter who cam take you seriously??

Halafu nilisha kwambia kwamba media ya Ukrainska PRAVDA wanashirikiana na URL ya kampuni ya William Gates ku-propagate propaganda za kibuni tu including make believe video clips na photos za kuonyesha Ukraine itashinda vita hii -huwezi kuamini fedha ambazo Serikali ya Merikani inaziunguza kwa kulipa MSM na social media kujaribu kuipandisha chati Ukraine mara zote eti "Ukraine is winning" Taifa linalo jisifia kwa kutetea haki za Binadamu na kulinda uhuru wa vyombo vya habari Duniani,, ndio walikuwa wa kwanza kufukuza vyombo vya habari vya Urusi na Uchina nchini Merikani wakati huu ea vita inayo endelea huko Ukraine - hawataki Wamerikani na Dunia wajue ukweli kwa kile kinacho endelea nchini Ukraine inayo saidiwa na US/NATO kwa kificho.

Jamaa na insha zako hizi huwa una kazi, sijui nani huzisoma, ndege nyingine hii imeliwaa!! Jengo la wizara limetiwa kiberiti na mtaendelea kushuhudia matukio....subiri kuna taarifa nyingine nafukunyua hapa nilete.
 
Nikisema your head should be examined unafikiri nakuonea - mbona kuna watu wengi tu humu waliwahi kukupa ushauri kama wa kwangu, mwingine alikwenda mbali zaidi kwa kukushauri ujaribu kuonana na mwana saikolojia uone anaweza kukusaidia vipi, alaongezea kwa kusema kwamba anakupa ushauri huu kwa nia njema tu.

Sasa kama unafikiri wanao kushauri wanakuonea basi Mungu akulinde.
 
Kuna hii nyingine, njoo uandike insha Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao
 
A Russian Alligator Ka-52 helicopter was destroyed by the forces of the 10th Separate Mountain Assault Brigade "Edelweiss" on 5 April.
Source: Serhii Cherevatyi, spokesperson for the East Grouping of Forces of the Armed Forces of Ukraine, in a comment to Ukrainska Pravda; "Edelweiss" Brigade on FacebookDetails: According to Cherevatyi, the Alligator was destroyed with the use of a Piorun MANPADS on the Bakhmut front near Berestove.

The "Edelweiss" Brigade also posted a video on their Facebook page.

Background: In its evening report on 5 April, the General Staff stated that Ukrainian defenders had destroyed a Russian Alligator Ka-52 helicopter on the eastern front.

Watuonyeshe picha ya hiyo helicopter ikiwa imetunguliwa
 
Kama uwezi kutofautisha baina ya ndege na helicopter, who can take you seriously??

Halafu nilisha kwambia kwamba media ya Ukrainska PRAVDA wanashirikiana na URL ya kampuni ya William Gates ku-propagate propaganda za kibuni tu including make believe video clips na photos za kuonyesha Ukraine itashinda vita hii.

Huwezi kuamini fedha ambazo Serikali ya Merikani inaziunguza kwa kulipa MSM na social media nchini mwake,Uingereza,Australia na Ujerumami ili kujaribu kuwazuga raia wa mataifa hayo wakiwa na lengo la kuipandisha chati Ukraine ili Mabunge yao yakubali kuongeza fedha lukuki za walipa kodi kununulia silaha na kunifaisha viwanda vya kuunda silaha ambavyo majority wa share holder ni retired military Generals, retired President na ma-tycoons.

Mbinu wanazo tumia kupewa pesa nyingi kutoka Serikalini ni kuvitumia vyombo vya habari kudanganya kwamba "Ukraine is almost winning the war" kwa hiyo wana hitaji fedha na silaha zaidi.

Sasa tuje kwenye suala la uhuru wa kusema chochote mradi huvunji sheria: Utashangaa kuona Taifa linalo jisifia sana Duniani kwa kutetea haki za Binadamu na kulinda uhuru wa vyombo vya habari Duniani, ndilo lilikuwa la kwanza kufukuza vyombo vya habari vya Urusi na Uchina nchini Merikani wakati vita inadelea huko Ukraine - hawataki Wamerikani na Dunia wajue ukweli kwa kile kinacho endelea nchini Ukraine inayo saidiwa na US/NATO kwa kificho, walihakisha channel zote za media za Urusi wanazi muzzle.
Tuseme basi Russia alishafanikiwa kuiangusha serikari ya Kiev na zeleboy ameshakimbilia uhamishoni na Sasa Kuna serikali ya mpito anayosimamiwa na Putin.
 
Back
Top Bottom