Ndege vita za China na Urusi zatinga eneo la karibu na pwani ya Alaska (Marekani) kufanya doria

Defence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Kinachopigana siyo pesa pima uelewa wako kwa Congo na Rwanda,Kisha ujiuliz why usa hawez kuvamia Korea ya Kim wakat hata ⅛ haifikii usa kwa budget
mkuu ebu fikiria kama Finland ingefanya hayo karibu na Russia, Busara ni kitu kikubwa sana kwa binadamu.
Hakuna busara hapo usa anajua Russia Ni nini maana yake
 
Bajeti kubwa imeshindwa kuisaidia Marekani kuwashinda Watalaban ambao hawana jeshi la anga,jeshi la majini wala jeshi la maana la nchi kavu.

Bajeti kubwa ya Marekani ilishindwa kuwashinda wavietnam,
Bajeti kubwa ilishindwa kumtoa madarakani Bashir Al Assad wa Syria.
Bajeti kubwa ya Marekani pamoja na bajeti za washirika wake wa NATO kwa kushirikiana na Ukraine wameshindwa kuishinda Urusi, pamoja na kuiwekea vikwazo Urusi ambavyo hakuna nchi duniania imewahi kuwekewa.
ukute haya uliyoyaandika Russia wenyewe wanakushangaa.
 
Una akili saana
 
China na vita wapi na wapi mkuu, hao macho madogo wakuze uchumi tu.
China ameipa jibu Marekani ikiwa Marekani wanaenda China's backyard, South & East China Seas na kufanya mazoezi ya kijeshi na washirika wake basi naye anaweza kumfikia mlangoni kwake

China wanakuza vyote uchumi na nguvu za kijeshi
 
Ajaribu kuigusa China au Russia kivita aone, mbona anaongelea mbali na kukimbilia vikwazo fake vya kiuchumi

China and Russia in America’s own backyard
Mpaka unawekewa vikwazo bado ni kipigo hicho

Unachotakiwa kwako ni kukataa kipigo hicho kwa kurudisha kipigo kwake kama wewe ni kidume Kweli

Istoshe, China anahistoria ya kuvuliwa nguo na USA pale sipika wa bunge la Marekani peres alipovunja katazo lake
 
ukute haya uliyoyaandika Russia wenyewe wanakushangaa.
Mbona nimeandika vitu rahisi sana?
Ndio ni kweli USA Ina bajeti kubwa ya kijeshi kuliko nchi yoyote duniani.
Lkn je ?
Mbona haijawasaidia kuwashinda Watalaban Kwa miaka 20?

Je Watalabani wapo au hawapo?

Mbona haikuwashinda wavietnam?

Mbona haikumtoa Assad madarakani?

Mbona haikuwashinda wasomali akina Gen Morgan na Gen Aidiid?
Mbona kwa kushirikiana na NATO na Ukraine wameshindwa kuipigisha magoti Urusi?

Sijakataa kua ana bajeti kubwa.
 
Mpaka unawekewa vikwazo bado ni kipigo hicho

Unachotakiwa kwako ni kukataa kipigo hicho kwa kurudisha kipigo kwake kama wewe ni kidume Kweli
Vikwazo ilivyowekewa Russia vimefanya kazi gani mpaka sasa?
 
Mbona nimeandika vitu rahisi sana?
Ndio ni kweli USA Ina bajeti kubwa ya kijeshi kuliko nchi yoyote duniani.
Lkn je ?
Mbona haijawasaidia kuwashinda Watalaban Kwa miaka 20?

Je Watalabani wapo au hawapo?

Mbona haikuwashinda wavietnam?

Mbona haikumtoa Assad madarakani?

Mbona haikuwashinda wasomali akina Gen Morgan na Gen Aidiid?
Mbona kwa kushirikiana na NATO na Ukraine wameshindwa kuipigisha magoti Urusi?

Sijakataa kua ana bajeti kubwa.
Naunga mkono hoja

Pamoja na bajeti kubwa bado Marekani na mshirika wake Philippines inachezea kichapo katika electronic warfare kutoka kwa China huko South China sea
 
Bajeti kubwa imeshindwa kuisaidia Marekani kuwashinda Watalaban ambao hawana jeshi la anga,jeshi la majini wala jeshi la maana la nchi kavu.

Bajeti kubwa ya Marekani ilishindwa kuwashinda wavietnam,
Bajeti kubwa ilishindwa kumtoa madarakani Bashir Al Assad wa Syria.
Bajeti kubwa ya Marekani pamoja na bajeti za washirika wake wa NATO kwa kushirikiana na Ukraine wameshindwa kuishinda Urusi, pamoja na kuiwekea vikwazo Urusi ambavyo hakuna nchi duniania imewahi kuwekewa.

Defence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Wakati muingereza anafurushwa na wapiganaji wa MAUMAU pale Kenya unaweza tuambia uingereza ilikuwa na deffence budget ya sh.ngapi ukilinganisha na maumau?
Au wakati robert Mugabe anapigana dhidi ya wakoloni wa uingereza ili kupata uhuru huyo mugabe na vijana wake walikuwa na deffence budget kiasi gani?
Wakati markani inaikimbia vietnam kwa mara ya kwanza ni nani kati ya hizi nchi mbili alikuwa na deffence budget kubwa? Sasa kwa taarifa yako unaweza binuliwa kichuguu na hela zako
 
Mbona nimeandika vitu rahisi sana?
Ndio ni kweli USA Ina bajeti kubwa ya kijeshi kuliko nchi yoyote duniani.
Lkn je ?
Mbona haijawasaidia kuwashinda Watalaban Kwa miaka 20?

Je Watalabani wapo au hawapo?

Mbona haikuwashinda wavietnam?

Mbona haikumtoa Assad madarakani?

Mbona haikuwashinda wasomali akina Gen Morgan na Gen Aidiid?
Mbona kwa kushirikiana na NATO na Ukraine wameshindwa kuipigisha magoti Urusi?

Sijakataa kua ana bajeti kubwa.
Umeandika kitoto sana, ni wapi USA walisema kuwa wanataka Russia iwapigie magoti? Au maana ya kutoa msaada inakupiga chenga.
Ni lini USA waliingia vitani na Somalia?
Ni lini USA waliingia vitani na wataliban?
Nipe utofauti kati ya vita vilivyopiganiwa kati ya Iraq, Vietnam, Somalia na hao wataliban.
Kwahiyo operation zote anazofanya USA au Russia kwako wewe unazichukulia kama vita kamili.
Kwamaana nyingine unasema kuwa jeshi la Tanzania imeshindwa vita na vikundi vya M23? au Jeshi la Naigeria imeshindwa vita na vile vikundi vya Islamic jihad.
Eti USA wameshindwa kwa Asad AL Bashar utafikiri USA walikuwa wameingia vitani na Syria.
 
Back
Top Bottom