Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuukabili ukorofi wa Urusi kwenye nchi za Ulaya hasa majirani zake ambazo hazitaki kuwa mshirika wa Ruzzia.Hivi kwanini NATO iliundwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuukabili ukorofi wa Urusi kwenye nchi za Ulaya hasa majirani zake ambazo hazitaki kuwa mshirika wa Ruzzia.Hivi kwanini NATO iliundwa?
Una hojaMwenye bajeti kubwa akawarushie jiwe tuone huo ukubwa wa bajeti utawafikisha wapo
We kweli ni shetani kutoka kuzimu kwa hiyo unafikiri urusi yeye Hana vifaa vya kisasa na mbona nato na marekani wasimvamie mrusi huko Ukraine kumuondoa Kama walivofanya huko Libya na Iraq mnangoja nini...sasa urusi anajitwalia maeneo ya Ukraine na wenye vifaa vya kisasa wanaangalia t ,🙄🙄😎😎Baada ya kuona isreli inawatandika sana.
Mkoan mkimbilie na mada za china na urusi.
Hapo china ni copy and paste za USA.
Urusi ni babu mwenye vifaa vya zamani
mkuu ebu fikiria kama Finland ingefanya hayo karibu na Russia, Busara ni kitu kikubwa sana kwa binadamu.
Kwani dola zinatoka mbinguni?Defence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Kuukabili ukorofi wa Urusi kwenye nchi za Ulaya hasa majirani zake ambazo hazitaki kuwa mshirika wa Ruzzia.
We nae asa so ndo kumuogopa huko ingekuaa ni Tunisia imeivamia Ukraine wale NATO wangeshafanya Yale masifa yao Tunisia ingegeuzwa juu chini kwa mabomuSidhani kama ni kuogopa, bali ni kuchukua tahadhari.
Ni mpumbavu pekee ndiye anaweza kumpuuza adui yake akimdhania dhaifu asiye na madhara.
katika hizo hesabu pesa nyingi zinaenda kutumika kufadhili mavita yasiyo na maana sehemu mbali mbali duniani.Defence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Ukweli mtupukatika hizo hesabu pesa nyingi zinaenda kutumika kufadhili mavita yasiyo na maana sehemu mbali mbali duniani.
Ndio namshangaa huyo mkuu wa mashoga. Bajeti kubwa halafu anawaogopa masikini!!Defence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Inashangaza sanaNdio namshangaa huyo mkuu wa mashoga. Bajeti kubwa halafu anawaogopa masikini!!
Mie nafikiri wewe ndio umeelewa kitoto,hivi kweli hujui lengo la vikwazo Vyoote alivyowekewq Urusi Nia ilikua ni kumpigisha magoti,?Umeandika kitoto sana, ni wapi USA walisema kuwa wanataka Russia iwapigie magoti? Au maana ya kutoa msaada inakupiga chenga.
Ni lini USA waliingia vitani na Somalia?
Ni lini USA waliingia vitani na wataliban?
Nipe utofauti kati ya vita vilivyopiganiwa kati ya Iraq, Vietnam, Somalia na hao wataliban.
Kwahiyo operation zote anazofanya USA au Russia kwako wewe unazichukulia kama vita kamili.
Kwamaana nyingine unasema kuwa jeshi la Tanzania imeshindwa vita na vikundi vya M23? au Jeshi la Naigeria imeshindwa vita na vile vikundi vya Islamic jihad.
Eti USA wameshindwa kwa Asad AL Bashar utafikiri USA walikuwa wameingia vitani na Syria.
Sasa tofauti ya budget ya ulinzi ya USA na wenzake china na Russia ni kwamba USA ananua Kila kitu kutoka kwenye kampuni binafsi za kutengeneza silaha,china na Russia 90% silaha zao wanazaliaha wenyewe na Kwahiyo budget zao lazima ziwe kubwa...
We kalia hayohayoDefence Budget ya USA 800 billion usd. Russia + China hata 300 billion hawafiki Budget yao.
Hivi kwani China hawezi kumwekea vikwazo vya kiuchumi USA?Ajaribu kuigusa China au Russia kivita aone, mbona anaongelea mbali na kukimbilia vikwazo fake vya kiuchumi
China and Russia in America’s own backyard
Mbona unalazimisha vita kaka, watu wanajaribu kujizuia vita kubwa zaidi isienee wewe unataka NATO wavamie Urusi, hata Urusi pia ina nguvu kwanini isivamie taifa lililopo NATO?, sijui watanzania tumelogwa nananiWe
We nae asa so ndo kumuogopa huko ingekuaa ni Tunisia imeivamia Ukraine wale NATO wangeshafanya Yale masifa yao Tunisia ingegeuzwa juu chini kwa mabomu
Eti tahadhari
Wanamuogopa waivamie urusi Kama wao vidume kweli Kama walivofanya Iraq..na Libya ,🤮🤮
Yani china tokea itudanganye itaishusha ndege ya pelosi alafu ikaufyata sina hata imani naye tena, japokuwa marekani nae kuna muda anapokea za uso kwenye operation zake lakin kwa china hapa alirudisha mkia nyuma.China ameipa jibu Marekani ikiwa Marekani wanaenda China's backyard, South & East China Seas na kufanya mazoezi ya kijeshi na washirika wake basi naye anaweza kumfikia mlangoni kwake
China wanakuza vyote uchumi na nguvu za kijeshi
Bahati mbaya haitakaa itokeeDunia inahitaji balance of power