Hemed02
Senior Member
- Nov 9, 2022
- 120
- 105
Mchungaji mjinga mtetezi wa israel tz …. Kila kwenye tajo la mayahudi ukosekani🤣🤣 kisa mchungajiKwa taarifa yako tu wakristo na Wayahudi hata siku moja ha uwięzi kuwatenganisha maana Bila Wayahudi Ukristo usingekuwepo na Yesu alikuwa Muyahudi akina Daud,Saul na mitume wengine walikuwa wayahudi sasa ninyi na Shobo zenu mnawatenganisha vipi?. Pia nikutaarifu tu ukimuona Mkristo anapingana na Israel au wayahudi jua huyo alisha-asi siku nyingi amebakia jina tu. Wakristo na Wayahudi ni sawa na Maji na Samaki!!!. Kama kubwabwaja tu endeleeni kubwabwaja lakini huwezi kuwatenganisha watu hao!!