Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

Mchungaji mjinga mtetezi wa israel tz …. Kila kwenye tajo la mayahudi ukosekani🤣🤣 kisa mchungaji
 
Kipigo cha juzi alichogawa kwa Iran na vibaraka wake Hamas, Hezbollah, Houth na Assad mpaka akakimbia hukuona?! Ama ulikua hujazaliwa?
 
Tunaomba picha IRAN akipigwa!!!! Sisi tunazo nawewe unazijua za IRAN akitoa kichapo!!! Sasa izo z madem wenu zipo wp wakitoa kichapo.!!!?
Ubishi wa Kijinga hauna maana.
 
Endelea kuona Ndoto za mchana
 
A

Apeleke ndege zake Iran ujue taifa teule!!!
Oct 2024 alishapeleka na akafanya vitu vyake hata kusababisha The Promise-3 kubuma amabakia maneno tu kachapika sawa sawa!!
 
Endelea kujifariji fariji tu lakini IDF ndiyo waliomfyeka gaidi huyo
 
Endelea kujifariji fariji tu lakini IDF ndiyo waliomfyeka gaidi huyo
 
Oct 2024 alishapeleka na akafanya vitu vyake hata kusababisha The Promise-3 kubuma amabakia maneno tu kachapika sawa sawa!!
Tunaomba Ushaidi icho kipigo cha October 2024 apo ndio mnakimbia!!!!!
 
Tunaomba Ushaidi icho kipigo cha October 2024 apo ndio mnakimbia!!!!!
Oct 26,2024 israel iliweza kushambulia sehemu mbalimbali za Iran na iliweza kuangamiza mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran. Sasa kama wewe ulikuwa hujui hilo basi nenda Google utazipata hizo habari kama huzioni nijulishe nikusaidie
 
Tunaomba Ushaidi icho kipigo cha October 2024 apo
Uliomba ushahidi huo hapo ulivyo mjinga na mpumbavu utaanza Kubwabwaja ovyoovyo
 

Attachments

  • How_Israeli_Oct_26th_strike_on_Iran_happened(360p).mp4
    27.5 MB
Hawa inaonekana kabisa kuwa hawana Air Defense System yoyote ile kwahiyo ni sawa sawa na kusema Anga lao liko uchi kabisaaa mpaka mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…