Kobazi mkuu akitulizwa mashariki ya kati itatuliaNasubiri sana kwa hamu, Iran ndio kubwa la makobaz, siku itatulizwa ndio makobaz yatakaa kwa kutulia na kuacha ugaidi.
Punguza kuvuta bangiRipoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma. Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!!!
“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!
Punguza kuvuta bangi
Sisi makobazi na nyinyi akina nani?Nasubiri sana kwa hamu, Iran ndio kubwa la makobaz, siku itatulizwa ndio makobaz yatakaa kwa kutulia na kuacha ugaidi.
Hamkosi visingizio? Umeona Israel pekee ndiyo inayopokea misaada hapo hapo unajitoa ufahamu usijue kuwa hata Supapawa Russia anapata misaada kutoka Korea kwa kiduku,Iran na nchi zingine nyingi tu.Watu wanapenda sana vita ila hawataki kuwa uwanja wa vita ingekuwa Israel anatumia gharama zake binafsi sidhani kama anagekuwa na jeuri hiyo
Ngoja tuone wataweza??Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.
Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!
“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!
Tena hizo ndege ikamwage acid kuua laana yote iliyopo hapoNasubiri sana kwa hamu, Iran ndio kubwa la makobaz, siku itatulizwa ndio makobaz yatakaa kwa kutulia na kuacha ugaidi.
Mimi sio Upande wa Irani/Islam au Israel/Zionist mnapenda vita mkiambiwa tuu mpite hata JKT ukakamavu mnaanza kulia lia. TuuHamkosi visingizio? Umeona Israel pekee ndiyo inayopokea misaada hapo hapo unajitoa ufahamu usijue kuwa hata Supapawa Russia anapata misaada kutoka Korea kwa kiduku,Iran na nchi zingine nyingi tu.
Kwa taarifa yoko tu hakuna nchi yoyote duniani Inaweza kupigana vita na ikashinda bila kupata msaada wowote kutoka nchi nyingine!!! Kama unapinga Njoo uniambie
Nausubiri kwa hamu kweli huu mtanange hapo middle east kobazi mkuu akilawitiwa nje njeRipoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.
Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!
“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!
Mtoto wakiume unakauli kama za manzi kujishebedua maana yake ndio niniNani kakuuliza uko upande gani? Acha kujishebedua!!
We fala mkubwa kama habari haikuhusu au hauzipendi hachana nazo sio unawapangia watu nini cha kupost humuMtoto wakiume unakauli kama za manzi kujishebedua maana yake ndio nini
Makafiri.Sisi makobazi na nyinyi akina nani?