Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Hii vita mzayuni hawezi kuipigana anajua madhara kile kipindi Iran imerusha vitu 300 angani ilikuwa ni chanzo cha vita tosha lkn
Mzayuni akatuma vitoto vya droni kuepusha vita anabweka tu kumchochea marekani
Kwa nini unalewa mchana!!!! Au unafikiri sote humu ni wajinga kama wewe?
 
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.

Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!

“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!

huu ndo ule wakati wa kuifuta ISRAELI mazima
 
Israel apigane na watu walio kua full!!
Hawezi kabisa ni mbwembwe TU na kutaka kutishia nyau
 
Hayo ni mawazo ya Mwendawazimu ambaye ametoroka Milembe hospital!!!
We mavitenge nn unaelewa Zaid ya upoyoyo,Unafikiri Israel anavyopiga vikundi ndo ataeza pambana na Taifa lilokamilika.Ficha ujinga wako banaaaa,Huyo Israel alishindwa kuanza hyo vita wakati kafurumishiwa makombora mwaka Jana,aje aanze Leo

Sikia,hata basha yenu America hawezi pigana na nchi iliyo full Zaid ya chokochoko tu
 
Tatizo unaongea huku umeshiba Makande na Maharage ya jana!!
Unaposema Israel haiwezi kupigana na nchi iliyo full sijui unamaanisha kitu gani!! Kwa taarifa yako tu wayahudi si wenzako na Wangekuwa hawana uwezo Wafuga Midevu na Majini wangekuwa wamewafuta siku nyingi maana majirani zake wote wana Rohoni mbaya na hawawapendi hivyo kuwepo wao hai leo ni kwa sababu ya nguvu waliyo nayo kuwachakaza maadui wao.

Ni mara nyingi sana waarabu walitaka kuwafuata wayahudi kwenye uso wa dunia lakini 1948 walishindwa, 1967 walishindwa vibaya sana,1973 walishindwa ndipo wakaona bora waanze mazungumzo ya Amani tu.

Utake Usitake Israel ni kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko kwa waajemi!! Na katika vita zote alizopigana hajawahi kuanzisha na zote aliibuka kidedea!!!
 
Attachments

  • IMG_1124.jpeg
    IMG_1124.jpeg
    110.1 KB · Views: 23
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.

Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!

“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!

Yaan wew mse... Nakuchukia, JF wangeweka kipengele cha ku block member iwe anachopost sikioni wewe ningeshakutia nyundo kitambo sana, UDENGWA WE
 
Yaan wew mse... Nakuchukia, JF wangeweka kipengele cha ku block member iwe anachopost sikioni wewe ningeshakutia nyundo kitambo sana, UDENGWA WE
Kama wewe unanichukia hata mimi nafurahi sana na sasa nitakuwa naleta habari za magaidi kupigwa kila siku mpaka Unye mavi LUSHINDO BEBE!!
 
Jaribio hahaha afu unaleta uzi we kweli huna akili. Sisi tùnataka action sio Bollywood movie
 
Nasubiri sana kwa hamu, Iran ndio kubwa la makobaz, siku itatulizwa ndio makobaz yatakaa kwa kutulia na kuacha ugaidi.
Kuukausha mto Frati.

Iran lazima ataanguka tu hakuna namna
 
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.

Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!

“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!

Zumaridi tumepokea taarifa yako, ila nakuambia tena Iran sio Gaza hao waume zako mayahudi walijue hilo
 
huu ndo ule wakati wa kuifuta ISRAELI mazima
Ujue mimi huwa nakaa najiuliza sana
Iran 🇮🇷 huwa anadai kuifuta Israel 🇮🇱 kwenye uso wa dunia
Swali Israel 🇮🇱 mwenye kumiliki vichwa 90 vya nuclear weapons atakubali afutwe duniani bila kujibu?
 
Ujue mimi huwa nakaa najiuliza sana
Iran 🇮🇷 huwa anadai kuifuta Israel 🇮🇱 kwenye uso wa dunia
Swali Israel 🇮🇱 mwenye kumiliki vichwa 90 vya nuclear weapons atakubali afutwe duniani bila kujibu?
Swali hilo la kitoto sana Israel does not have the capacity to destroy Iran's nuclear program without American assistance, including midair refueling and the bombs. Iran akiwahi kumtandika Israel kwenye hizo Nuclear weapon si ndio itakuwa fuel kabisa hahaha. Hivi we unadhani Nuclear head nikama mawe mtu akikupiga unarusha jiwe pale pale hahaha. Afu usisahau Iran ana silaha hatari sana kuliko hizo Nuclear akizitumia hapo Middle East kutakuwa hakuna taifa linaitwa Israel.
 
We fala mkubwa kama habari haikuhusu au hauzipendi hachana nazo sio unawapangia watu nini cha kupost humu
Sijakupangia cha kupost ungekaa nacho moyoni watoto wanakufa huko wewe unaona raha kupost utopolo
NO REFORM NO ELECTION
 
Back
Top Bottom