Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Balozi mbali mbali za marekani pale mashariki ya kati ziko on very high alert
Mark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi mojaIran ni lazima ifutwe ili mashariki ya kati patulie
Kwa sababu gani mkuu?Mark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi moja
Nyie mlikuwa mnawasifia hizbollah namna hii mkawaponza. Israel huwa inafanya mahesabu yake vizuri sana ndio maana waarabu zaidi ya milioni 500 wameshindwa na watu milioni 8 miaka nenda rudi.Mark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi moja
Waarabu hawajafika million miatano Bado, na hapo watoe wote muarabu ni mmoja tu muyemen. Kushindwa inamaana Gani? Do you have peace? Malizana na hamasi kwanza umeasahau Kama muna ceasefire na hizbollah? Unaelewa maana ya ceasefire?Nyie mlikuwa mnawasifia hizbollah namna hii mkawaponza. Israel huwa inafanya mahesabu yake vizuri sana ndio maana waarabu zaidi ya milioni 500 wameshindwa na watu milioni 8 miaka nenda rudi.
Acha ushabiki hafifu kama huu. Israel wapo mbele ya muda na Iran lazima apigwe maana alifanya kosa kubwa sana kuleta yale makombora mpaka ardhi ya IsraelWaarabu hawajafika million miatano Bado, na hapo watoe wote muarabu ni mmoja tu muyemen. Kushindwa inamaana Gani? Do you have peace? Malizana na hamasi kwanza umeasahau Kama muna ceasefire na hizbollah? Unaelewa maana ya ceasefire?
Iran hana haja ya proxy kufagia kambi zote pale mashariki ya kati, anazifagia peke yake.Kwa sababu gani mkuu?
Makundi yote ya Iran washayapunguza nguvu hayana meno tena.
Ni timing sahihi kwao
Mkwara wa mende kuangusha kabati. Huu ndio muda mwafaka wa Israel kuishambulia Iran (kama ana mpango huo) kwani bwana wake Urusi katingwa na vita ya Ukraine.Mark my words wakithubutu jua kuwa US ndio kafungasha virago pale middle east Hata kaa Hata kambi moja
Msijesema Israel/US wanaua watoto na wanawake huko Iran!.Iran hana haja ya proxy kufagia kambi zote pale mashariki ya kati, anazifagia peke yake.
Yale makombora ndio yaliwauma eeh, je nyie kulipua ubalozi wake pale Syria? Jana katest chuma yenye kubeba TANI 2 za miilipuko Kwa maana ya kawaida uzito wa Toyota CARINA 4, Iran anauwezo wa kulisafirisha mpaka hapo katika ardhi ya wizi Kwa dakika 4 tu likisambaa ni kiama.Acha ushabiki hafifu kama huu. Israel wapo mbele ya muda na Iran lazima apigwe maana alifanya kosa kubwa sana kuleta yale makombora mpaka ardhi ya Israel
Sio maneno yangu usije sema ni mkwara wangu Soma maneno ya mpersia mwenyeweMkwara wa mende kuangusha kabati. Huu ndio muda mwafaka wa Israel kuishambulia Iran (kama ana mpango huo) kwani bwana wake Urusi katingwa na vita ya Ukraine.
Usiwe na wasiwasi, baada ya hili shambulio Iran hatakuwa na uwezo wa kurusha hata drone moja achilia mbali makomboraYale makombora ndio yaliwauma eeh, je nyie kulipua ubalozi wake pale Syria? Jana katest chuma yenye kubeba TANI 2 za miilipuko Kwa maana ya kawaida uzito wa Toyota CARINA 4, Iran anauwezo wa kulisafirisha mpaka hapo katika ardhi ya wizi Kwa dakika 4 tu likisambaa ni kiama.
Hapo bongo saivi ni saa tano usiku naomba ukalale, halafu kesho ukiamka anza kusoma Hatua Kwa Hatua kuhusu mtandao wa missiles wa Iran pengine tutakua na mijadala Bora Sana rafiki,.Usiwe na wasiwasi, baada ya hili shambulio Iran hatakuwa na uwezo wa kurusha hata drone moja achilia mbali makombora