Kiongozi wa Hamas Sinwar aliyelipuliwa kichwa kikapasuka alikuwa amejificha kwa raia?
Mnachofeli ni kwamba, Hamas hawajifichi miongoni mwa raia lakini Hamas wanajificha kwenye magofu na mahandaki, huko chini kwenye mahandaki wana chakula, wana viwanda vya silaha, wana camera wanaona kinachoendelea huko juu..
IDF wanapoingia wanapigwa ambush na kushambuliwa, hamas wanapigana kwa guerilla tactics..
Nitakubali Hamas hapo Gaza wana kitengo chao cha intelligence ambapo baadhi ya hao agent nitakubali wapo miongoni mwa raia na wanapeleka taarifa zote kuhusu IDF hapo Gaza... kama ilivyo IDF ilivyo na agents ndani ya Hamas, Hezbollah n.k
Tazama hio video hapo chini uone IDF walivyo bananishwa kwenye ambush na Hamas Gaza wakawa wanalia kama watoto ... Vita si rahisi kama mnavyozungumza kama walevi wa pombe za kienyeji... hapo unaona Hamas wamejificha kwa raia?
View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78&t=67s