Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Haha
yaani chain of command yote ya Hezbollah imemalizwa then unasema France na US ndio waliomba ceasefire?
Unadhani waarabu wanajali chain of command?
Hamas viongozi wake walipouliwa si mlisema watajisalimisha hawana tena nguvu?
Hizbollah walijiandaa hadi mbadala wa kiongozi.
Ndio maana baada ya Hassan Nasrallah kufa Hizbollah siku tatu mbele walirudi na kurusha makombora mengi zaidi ya masafa marefu.
US na France ndio walioingilia.
Embu nenda kafuatilie makubaliano ya kusitishwa vita yalikuaje na nani Aliya propose.
Hizbollah alifatwa tu na kushurutishwa asaini.
 
Waarabu hawajafika million miatano Bado, na hapo watoe wote muarabu ni mmoja tu muyemen. Kushindwa inamaana Gani? Do you have peace? Malizana na hamasi kwanza umeasahau Kama muna ceasefire na hizbollah? Unaelewa maana ya ceasefire?

Wacha weeeeeh... Hadi kuandika vizuri huwezi. Muna ceasefire? 🤣 Umekalia kitu bado mpaka mseme.
 
Sio maneno yangu usije sema ni mkwara wangu Soma maneno ya mpersia mwenyewe
🇮🇷⚡🇮🇱🇺🇸 Iran's Defense Minister: If case of a war, the other side will definitely suffer more casualties than us and the US will be forced to leave the region.

We will target all American bases in the region without consideration.

Just last week, we tested a missile with a 2-ton warhead.
[/QUOTE]
Kudadadekiii. Uzuri Iran hatanii akiahidi anatekeleza.

Vile vyuma alivyoporomoshewa Israel hana hamu na Muajemi tena.

Sasa ile ilikuwa kutuma salamu tu na vyuma vilivyotumika ni vya karne ya 20. Bado hajatumia vyuma latest hapo ndipo US na mke wake Israel wanapohofia.
 
Ila wadau tujue tunaposhangilia vita zinazopotea ni nafsi za watu kama sisi,watu waliotamani kuwaona wajukuu zao kama sisi watu wenye mipango yao vichwani kama sisi etc etc.

Kwa namna yoyote na kwa gharama yoyote vita ni vya kuombea visitokee inapasa sisi wenye amani japokuwa ya kimang’amuang’am tuwaombee ili conflicts zao ziweze kuwa solved bila damu kumwagika.
 
Kijana kama hujui uliza usijitie aibu.
USA na France walienda Lebanon baada ya kuona Hizbollah wameanza kutumia Longe range guided missiles ndani ya Israel.
US na France waliishinikiza serikali kuu ya Lebanon iwalazimishe Hizbollah waweke silaha chini na wasitishe mapigano na kuwekwe makubaliano ya ceasefire.
Kama USA asingefanya hivyo Israel kulikua hakukaliki.
Northern Israel yote kuanzia Galilaya kulikua kunawaka moto na raia zaidi ya laki Moja walikimbia.
Hadi sasa wengi wao hawajarudi wakihofia Hizbollah.
Nyie hamuishiwi vituko. Viongozi wote wa hizbollah wameshamalizwa bado mnaendeleza stori zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Kipindi USA inamfadhili Israel avamie Syria miaka ya 1950s Iran alikua rafiki wa USA na Israel.
Kipindi USA na Israel wanaunda njama za Damascus crisis Iran alikua upande tulivu.
Msijiropokee tu hapa.
Mashariki ya kati ilikua ni ya amani kabla hajaja USA na Israel.
Kama hao watu wawili Wakafutiliwa mbali huwenda waarabu na waajemi wakarudi kuishi kwa amani tena.
Kipindi kile Egypt ndio alikuwa anafanya kazi ya Iran. Yeye alipewa vichapo kadhaa akaona bora ajisalimishe kwa Israel. Sasa hivi ni zamu ya Iran nao kufutika.
 
Kipindi kile Egypt ndio alikuwa anafanya kazi ya Iran. Yeye alipewa vichapo kadhaa akaona bora ajisalimishe kwa Israel. Sasa hivi ni zamu ya Iran nao kufutika.
Kijana nilishasema huna unachojua kuhusu huu mzozo.
Unajua chanzo cha vita ya six days war 1967 na Yom kippur war 1973??
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaenda mbele.
 
Kudadadekiii. Uzuri Iran hatanii akiahidi anatekeleza.

Vile vyuma alivyoporomoshewa Israel hana hamu na Muajemi tena.

Sasa ile ilikuwa kutuma salamu tu na vyuma vilivyotumika ni vya karne ya 20. Bado hajatumia vyuma latest hapo ndipo US na mke wake Israel wanapohofia.
[/QUOTE]
Kuna The Promise-3 mpaka leo hajatekeleza yeye anajua aliogopa nini!!
 
Kijana nilishasema huna unachojua kuhusu huu mzozo.
Unajua chanzo cha vita ya six days war 1967 na Yom kippur war 1973??
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaenda mbele.
Kwa hiyo wewe ndiye unayejua? Basi tuelezee hicho chanzo nasi tukijue!!!
 
Hii vita mzayuni hawezi kuipigana anajua madhara kile kipindi Iran imerusha vitu 300 angani ilikuwa ni chanzo cha vita tosha lkn
Mzayuni akatuma vitoto vya droni kuepusha vita anabweka tu kumchochea marekani
Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
 
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.

Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!


“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!

Wewe mtu una identity crisis na inakutesa kwelikweli hapo unajona wewe ni mu-isreali hata uposti hizi posti zako za kipuuzi mara elfu hutakaa ubadilike rangi, wewe ni mtu mweusi furahia rangi yako. Unahitaji msaada ki psychology. Yani ukikaa unaona waislamu wote ni waraabu kwamba Isreal ikivamia Iran imevamia waislamu wote tanzania.
 
Kudadadekiii. Uzuri Iran hatanii akiahidi anatekeleza.

Vile vyuma alivyoporomoshewa Israel hana hamu na Muajemi tena.

Sasa ile ilikuwa kutuma salamu tu na vyuma vilivyotumika ni vya karne ya 20. Bado hajatumia vyuma latest hapo ndipo US na mke wake Israel wanapohofia.
Kuna The Promise-3 mpaka leo hajatekeleza yeye anajua aliogopa nini!!
[/QUOTE]
Uko nyuma sana ya muda hata ueleweshwe huwezi kuelewa.
 
Hii vita mzayuni hawezi kuipigana anajua madhara kile kipindi Iran imerusha vitu 300 angani ilikuwa ni chanzo cha vita tosha lkn
Mzayuni akatuma vitoto vya droni kuepusha vita anabweka tu kumchochea marekani
Yule ana akili nyingi hapigani hovyo anapima Kwanza nguvu yako akiona anakumudu anakuja kukudhalilisha inamana alikaa kimya ili kuimalisha mifumo ya ulinzi na kumsoma Iran vzr
 
Wacha weeeeeh... Hadi kuandika vizuri huwezi. Muna ceasefire? 🤣 Umekalia kitu bado mpaka mseme.
So what? Hakuna mtanzania anayemasta kiswahili na kiingereza Kwa 100% thou I can hear,speak and write both languages above 90% am okay with that...
 
So what? Hakuna mtanzania anayemasta kiswahili na kiingereza Kwa 100% thou I can hear,speak and write both languages above 90% am okay with that...
Thou unajua maana yake? Hata kiarabu hujui. Yaani wewe ni kilaza. Hujui kiingereza, kiswahili wala kiarab. Ukivaa kipedo tu unaona umemaliza kila kitu
 
[QUOTE="Echolima1, post: 54080442, member: 573542"topics Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
[/QUOTE]
Mwanaume halisi ukikosa ndevu ukikosa ndevu ni sawa na mtu nzima anayetembea uchi, usione fahari kukosa ndevu jisikitikie kwasababu Ukikosa ndevu rehema za Mungu hupungua kwako, fuatilia MANABII na mitume wa Mungu kwanini walifuga ndevu.
 
Thou unajua maana yake? Hata kiarabu hujui. Yaani wewe ni kilaza. Hujui kiingereza, kiswahili wala kiarab. Ukivaa kipedo tu unaona umemaliza kila kitu
Najua, najua nini nimeandika you concentrate on small details, hivi vinatatokea naandika haraka sometimes slippery happens for every one, Mimi kuandika muna badala ya mna haimanishi sijui lugha, nimesoma Tanzania kuanzia ninamiaka 5-19 lugha yangu kuu ni kiswahili, pengine kiswahili chako ni so special? Mimi kiarabu pia Bado najifunza lakin I can write,hear and read by 60% wewe hunijui hivyo unauhuru wa kuandika unavyojiskia hizo ni personal kutoka kwako hapa tunajadili hoja pambana na hoja
 
Back
Top Bottom