Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Najua, najua nini nimeandika you concentrate on small details, hivi vinatatokea naandika haraka sometimes slippery happens for every one, Mimi kuandika muna badala ya mna haimanishi sijui lugha, nimesoma Tanzania kuanzia ninamiaka 5-19 lugha yangu kuu ni kiswahili, pengine kiswahili chako ni so special? Mimi kiarabu pia Bado najifunza lakin I can write,hear and read by 60% wewe hunijui hivyo unauhuru wa kuandika unavyojiskia hizo ni personal kutoka kwako hapa tunajadili hoja pambana na hoja

Kama ni small details andika
Kumah badala ya Jumah mtumie rais au andika mahari badala la mahali.
Nyie mara nyingi hampendi kabisa shule.
 
Wewe ni raisi? Nyie mnaojifanya mmesoma kuliko wengine ndio vilaza wakuu hovyo kabisa
 
Hajui kwanini bwana wake Yesu alifuga
[QUOTE="Echolima1, post: 54080442, member: 573542"topics Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
Mwanaume halisi ukikosa ndevu ukikosa ndevu ni sawa na mtu nzima anayetembea uchi, usione fahari kukosa ndevu jisikitikie kwasababu Ukikosa ndevu rehema za Mungu hupungua kwako, fuatilia MANABII na mitume wa Mungu kwanini walifuga ndevu.
[/QUOTE]
 
Wewe mtu una identity crisis na inakutesa kwelikweli hapo unajona wewe ni mu-isreali hata uposti hizi posti zako za kipuuzi mara elfu hutakaa ubadilike rangi, wewe ni mtu mweusi furahia rangi yako. Unahitaji msaada ki psychology. Yani ukikaa unaona waislamu wote ni waraabu kwamba Isreal ikivamia Iran imevamia waislamu wote tanzania.
Acha ujinga na Upumbavu wako wapi hapo nimetaja waislamu? Unaonekana umeumia sana na safari hii lazima utaumia zaidi maana Iran ni lazima tu atandikwe!!!!
 
[QUOTE="Echolima1, post: 54080442, member: 573542"topics Wafuga Midevu na Majini hamkosi visingizio!!!
Mwanaume halisi ukikosa ndevu ukikosa ndevu ni sawa na mtu nzima anayetembea uchi, usione fahari kukosa ndevu jisikitikie kwasababu Ukikosa ndevu rehema za Mungu hupungua kwako, fuatilia MANABII na mitume wa Mungu kwanini walifuga ndevu.
[/QUOTE]
Uliwaona au uliona picha?
 
Wewe mtu una identity crisis na inakutesa kwelikweli hapo unajona wewe ni mu-isreali hata uposti hizi posti zako za kipuuzi mara elfu hutakaa ubadilike rangi, wewe ni mtu mweusi furahia rangi yako. Unahitaji msaada ki psychology. Yani ukikaa unaona waislamu wote ni waraabu kwamba Isreal ikivamia Iran imevamia waislamu wote tanzania.
Safari hii nitahakikisha mpaka umejinyea!!! Kila siku nitakuwa naposti kipondo cha magaidi!!! Nakushangaa sana wewe Mwarabu-koko unaumia nini Iran na magaidi kupigwa? Acha ujinga!!
 
Sio maneno yangu usije sema ni mkwara wangu Soma maneno ya mpersia mwenyewe
🇮🇷⚡🇮🇱🇺🇸 Iran's Defense Minister: If case of a war, the other side will definitely suffer more casualties than us and the US will be forced to leave the region.

We will target all American bases in the region without consideration.

Just last week, we tested a missile with a 2-ton warhead.
[/QUOTE]
Na ndio Ukweli uwezi kuwatofautisha kati ya Marekani na Israel mana wote pamoja wanatumia vifaa vya Kijesh aina moja mbaya zaid wote wapo eneo moja!!!!!

nitajuaje uyu ni Muisrael uyu ni marekani lkn pia kwenye mauwaji ya kizazi cha Palestina pale Gaza wapo pamoja!!!!

atakama nimimi malengo ya Kijesh lazima yausishe vituo vyote vya Majambazi ya Marekani pamoja na Israel.. Shubamit
 
We mavitenge nn unaelewa Zaid ya upoyoyo,Unafikiri Israel anavyopiga vikundi ndo ataeza pambana na Taifa lilokamilika.Ficha ujinga wako banaaaa,Huyo Israel alishindwa kuanza hyo vita wakati kafurumishiwa makombora mwaka Jana,aje aanze Leo

Sikia,hata basha yenu America hawezi pigana na nchi iliyo full Zaid ya chokochoko tu
sema Umejitahidi kujipambanua ni jinsi gani ulivyo na kiwango cha juu cha ujinga
 
Safari hii nitahakikisha mpaka umejinyea!!! Kila siku nitakuwa naposti kipondo cha magaidi!!! Nakushangaa sana wewe Mwarabu-koko unaumia nini Iran na magaidi kupigwa? Acha ujinga!!
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamii
 
Israel hata kaa aingie vita na Iran hata siku moja hizo ni propaganda tu
 
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamii
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians.
Wewe ni Mwarabu-koko na hakuna Aliyekuambia Iran ni waarabu tuliza akili zako vizuri!!!
Yani umekakaa tu hujielewi.
Wewe hunijui na mimi sikujui sasa mihemko hiyo yote ni kwa nini? Kwa sababu naleta habari za kupigwa swahiba zako? Na kama wewe unaona sijielewi si upite kushoto kuliko kubwabwaja ovyo ovyo kama mjinga!!!
Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi,
Nikiambiwa ni Lete watu waliostaarabika wewe huwezi kuweto hata kidogo!! Nani umemuona anashabikia umwagaji wa damu? Kwa akili yako maandazi Oct 07,2023 magaidi walipovamia Israel Walienda huko Kugawa Halua na Tende? Hao watu 1,200 kwako wewe hayakuwa mauaji? Acha ujinga wako wayahudi waliouwawa nao ni watu kama wao.kama wao waliua kuna dhambi gani waarabu nao wakifa?
Kuambiwa mvaa kobaz imekuuma lakini wewe kuita watu walokole,Mara wanajipendeza kwa Wayahudi wewe unafurahia sana!! Acha ujinga na upumbavu huo!!

Aliyekuambia wayahudi hawatutaki nani? Mimi nimekaa huko toka April 08,2025 mpaka June 08,2025 Nimerudi Jumapili tu iliyopita sijaona UHARO unaousema!! Mimi ni mwafrika mweusi usifikiri nimejikoboa kama wewe Mwarabu koko mpuuzi wewe!!!
 
Wewe ni Mwarabu-koko na hakuna Aliyekuambia Iran ni waarabu tuliza akili zako vizuri!!!

Wewe hunijui na mimi sikujui sasa mihemko hiyo yote ni kwa nini? Kwa sababu naleta habari za kupigwa swahiba zako? Na kama wewe unaona sijielewi si upite kushoto kuliko kubwabwaja ovyo ovyo kama mjinga!!!

Nikiambiwa ni Lete watu waliostaarabika wewe huwezi kuweto hata kidogo!! Nani umemuona anashabikia umwagaji wa damu? Kwa akili yako maandazi Oct 07,2023 magaidi walipovamia Israel Walienda huko Kugawa Halua na Tende? Hao watu 1,200 kwako wewe hayakuwa mauaji? Acha ujinga wako wayahudi waliouwawa nao ni watu kama wao.kama wao waliua kuna dhambi gani waarabu nao wakifa?
Kuambiwa mvaa kobaz imekuuma lakini wewe kuita watu walokole,Mara wanajipendeza kwa Wayahudi wewe unafurahia sana!! Acha ujinga na upumbavu huo!!

Aliyekuambia wayahudi hawatutaki nani? Mimi nimekaa huko toka April 08,2025 mpaka June 08,2025 Nimerudi Jumapili tu iliyopita sijaona UHARO unaousema!! Mimi ni mwafrika mweusi usifikiri nimejikoboa kama wewe Mwarabu koko mpuuzi wewe!!!
Unajiteteaaa hapo umeonaa umeandikaa vitu vya maana, achaa kujipendekeza utafanywa mbaya. Eti nimeandaa Isreal so what! Tafuta ajira lasivyo utabika kuwa maskini kama ulivyo. Jikwamue kimaisha acha ujinga. Sina muda wa kuandika sana kwasababu na vitu vya maana vya kufanya, haya nijibu tena nasubiria this time andika kitabu tic toc tic toc!!
 
Eti nitafute ajira kwa taarifa yako mimi si wa kutafuta ajira. Najua huna bundle maana ulinunua la 500 nalo linakwisha. Watu kama wewe ndiyo mmekuwa mkiliharibu jukwaa hili kwa kuweka habari za uongo na upotoshaji!!!

Eti huna muda una vitu vya kufanya kwani wewe umeolewa? Acha ujinga wako wewe!!!
 
sema Umejitahidi kujipambanua ni jinsi gani ulivyo na kiwango cha juu cha ujinga
Alichoongea mwenzako ndio ukweli.
Iran ilishambulia Israel kwa makombora mara mbili na yakapenya.
Hiyo ilikua sababu tosha ya Israel kuanzisha vita na Iran.
Israel imekua ikiishambulia bila kusita Yemen,Lebanon na Syria.
Kwanini haifanyi hivyo kwa Iran??
Shida hili jukwaa limevamiwa na mambumbumbu kama wewe mnatia doa humu.
 
Mimi sio muarabu na wa Iran sio waarabu ni Persians. Yani umekakaa tu hujielewi. Mimi ni mtu civilized na amini kwenye ubinadamu ndio sitakaa nishabikie umwagaji wa damu sio wa binadamu yeyote. Lakini wewe umekosa kazi ya kufanya kazi za kijinga, umebaki kushabikia upuuzi, unavyoosema wavakobazi unamaanisha nini? UnaJilazimishia uisraeli hawakutakii mbona unajipendezaa. Acha kujipendekeza sio tabia nzuri kwa mwanume mtu mzimaa kama wewe, penda rangi yako ndio mungu alivyokuumba. Huo ujinga unaufanya mtandaoni ungetumia kupata kipato ungekuwa na pesa nyingi sasa hivi, lakini kwasababu we ni mpuuzi hutakaa ulione hilo. Hata jaribu kutangaza tanzania na mazuri yake, angalua uwe na faida kwenye jamii
😂😂😂Mnamuandama sana jamaa bro.
Kila mtu anamsema hivi hivi😂😂.
 
Eti nitafute ajira kwa taarifa yako mimi si wa kutafuta ajira. Najua huna bundle maana ulinunua la 500 nalo linakwisha. Watu kama wewe ndiyo mmekuwa mkiliharibu jukwaa hili kwa kuweka habari za uongo na upotoshaji!!!

Eti huna muda una vitu vya kufanya kwani wewe umeolewa? Acha ujinga wako wewe!!!
Waliolewa ndio hawanaga kazi kama wewe kushinda kwenye mitandaoni siku nzima kuandika uupuzi, angalia nani anandika vitu vya kipuuzi mtandaoni, unajisahau mpaka unajisema mwenyewe, haya nijibu this time Andika kitabu na bando lako unlimited. Yani the fact unashinda mitandaoni inkuelezea wewe ni mtu wa Aina gani
 
Alichoongea mwenzako ndio ukweli.
Iran ilishambulia Israel kwa makombora mara mbili na yakapenya.
Hiyo ilikua sababu tosha ya Israel kuanzisha vita na Iran.
Israel imekua ikiishambulia bila kusita Yemen,Lebanon na Syria.
Kwanini haifanyi hivyo kwa Iran??
Shida hili jukwaa limevamiwa na mambumbumbu kama wewe mnatia doa humu.
Acheni kudanganya watu kama yalipenya yaliua watu wangapi? Iran alishambulia kwa makombola zaidi ya 400 yote yalipopolewa na mengi yaliangukia jangwani na sehemu za wazi!! Hakuna shambulio la Iran lililofanikiwa yote yalikuwa ya kipuuzi tu. Huwezi kurusha makombola 400 yote uka Wash-Out huo ni Upumbavu.

View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61
 
Back
Top Bottom