Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Waliolewa ndio hawanaga kazi kama wewe kushinda kwenye mitandaoni siku nzima kuandika uupuzi, angalia nani anandika vitu vya kipuuzi mtandaoni, unajisahau mpaka unajisema mwenyewe, haya nijibu this time Andika kitabu na bando lako unlimited. Yani the fact unashinda mitandaoni inkuelezea wewe ni mtu wa Aina gani
Ujinga mtupu umekalia mimi nina maisha yangu na wewe una yako kwa nini kufatilia yangu? Maisha yako mwenyewe yamekushinda unakuja kuniambia nitafute ajira mimi!!
Tumia akili zake vizuri mjinga wewe!!!
 
Wewe huwezi kulingana na mimi wewe tafuta ajira upande pesa ununue bundle mjinga wewe!!
 
Ujinga mtupu umekalia mimi nina maisha yangu na wewe una yako kwa nini kufatilia yangu? Maisha yako mwenyewe yamekushinda unakuja kuniambia nitafute ajira mimi!!
Tumia akili zake vizuri mjinga wewe!!!
Matusi ya nini, kukosa kazi sio maradhi, wewe ukiamka kesho aanza kutafuta kazi ukipata tuone kama utashinda tena mitandaoni tena, mimi nakuombea upate kazi angalua akili itarudi 🤲🤲
 
Matusi ya nini, kukosa kazi sio maradhi, wewe ukiamka kesho aanza kutafuta kazi ukipata tuone kama utashinda tena mitandaoni tena, mimi nakuombea upate kazi angalua akili itarudi 🤲🤲
Acha ujinga mimi si wa kuajiriwa mimi nakula pesa yangu kazi tafuta wewe!!
 
Ni DM nna offer nzuri ya kazi
Mimi si Basha siwezi kufanya Upumbavu huo wa kuku Dinya Mk*nd*ni(DM). Watafute Wafuga Midevu na Majini ndiyo wanaweza kufanya Upumbavu huo!!,,
 
Mimi si Basha siwezi kufanya Upumbavu huo wa kuku Dinya Mk*nd*ni(DM). Watafute Wafuga Midevu na Majini ndiyo wanaweza kufanya Upumbavu huo!!,,
Acha matusi nataka nikupe kazi unateseka wewe, kichwa imearibika nataka nitumie hizo nguvu zako za mtandaoni kwa faida, muulize mu-isreal wako kwani anasemaje? kuhusu kupewa kazi, itawaongezea kipato hapo kwenye hicho kibanda mnacho ishi.
 
ITS THE GAME OF CHANCE.
Yaaah perfect chance ambayo Israel na Marekani waliyonayo kwa sasa kwa sababu kuu Mbili
1. Washarika wa karibu wa Iran yaan Russia na Syria tayari wamepunguzwa makali (Kivip?)
Russia ipo busy na Vita vya ukraine kwa mwaka wa nne sasa unakaribia. Nguvu na akili yote ya mrusi Iko kwenye hiyo vita .
Stock ya silaha na zana za kivita lazma itakuwa imepungua kwa kiasi kikubwa sana na sio rahisi aanzishe vita nyingine ya kumkingia kifua Iran dhidi ya Israel na Marekani✍️
Japo Urusi huwa hamtengi mshirika wake wa karibu iwe jua iwe mvua(Tutaona hapa kwenye hii vita)
Syria baada ya Assad , kiongozi mpya aliyeingia madarakani ni Kibaraka wa marekan na Israel Hana msaada na Iran wala Russia na usishangae kuona Syria ikaruhusu ndege na Majesh ya Israel kuishambulia Iran na hili la Syria kuangukia mikononi mwa marekana na Israel ni pigo Kubwa sana kwa Iran.
Gepu la Urusi kuwa Vitani na Ukrain na Syria kusambaratika ni Chance Nzuri ya Israel na Marekan kukamilisha mipango Yao upesi kabla upepo haujabadilika na ndio maana Netanyahu anafos sana kuishambulia Iran japo USA anasitasita.
Yote kwa yote Haitakuwa vita rahisi kwa Israel Kama anavyodhan kuna mageuzi makubwa sana ya technology kwenye vita Mfano Nzuri ni matumiz ya Drones na ICBMs
Iran anaweza kushangaza HUU ulimwengu Kama Ukraine mwanzoni kabisa vita yake ilivyoanza
 
Ripoti kutoka Iran: Ndege kadhaa za Jeshi la Wanahewa la Israel zilionekana karibu na mpaka wa Syria na Iraq. Ndege hiyo ilikaribia umbali wa kilomita 640 kutoka mpaka wa Iran kabla ya kurejea nyuma.

Kulingana na tathmini, ilikuwa ndege hizo zilikuwa kwenye mazoezi ya masafa marefu!

“My take” Iran yeye aanze tu kutia maji kichwa chake kinyozi yeye yuko tayari!!

Shalom!!!

Naona ubize umeingia ghafla kwenye maisha yako!

Leta uzi, jamii imekumiss mtumishi!!!
 
Hii vita mzayuni hawezi kuipigana anajua madhara kile kipindi Iran imerusha vitu 300 angani ilikuwa ni chanzo cha vita tosha lkn
Mzayuni akatuma vitoto vya droni kuepusha vita anabweka tu kumchochea marekani
Sasa hivi umejiona ulivyo mjinga? Nilikuambia ukakaza fuvu! Sasa yako wapi?
 
Swali hilo la kitoto sana Israel does not have the capacity to destroy Iran's nuclear program without American assistance, including midair refueling and the bombs. Iran akiwahi kumtandika Israel kwenye hizo Nuclear weapon si ndio itakuwa fuel kabisa hahaha. Hivi we unadhani Nuclear head nikama mawe mtu akikupiga unarusha jiwe pale pale hahaha. Afu usisahau Iran ana silaha hatari sana kuliko hizo Nuclear akizitumia hapo Middle East kutakuwa hakuna taifa linaitwa Israel.
Kenge wewe nilikuambia Iran atie maji komwe lake maana kinyozi alikuwa mlangoni wewe ukakaza fuvu lako sasa hivi vinu vyote vya Nuclear chali umebaki kubwabwaja ovyo tu Mbwa wewe!!!
 
Back
Top Bottom