Ndege vita za Israel zaanza kupiga Jaramba kuelekea Iran!

Israel wameibiwa files ambazo ni za siri kuhusu projects zao za nuclear...

Iran si nchi ya kuizungumzia kama mlevi aliyelewa gongo kwamba Isral itakwenda kuishambulia...

Hilo suala ni gumu.. na haitokei leo wala kesho..

Israel imeshindwa kupambana na vijana wanaotengeneza mabomu kwa kutumia sukari hapo Gaza... maroketi wanatengeneza kienyeji kutumia vitu vinavyowazunguka..

Gaza imezungukwa pande zote na ukubwa wake wa km square 365, huku Israel ina km square 21640... lakini ni mwaka wa pili ngoma bado ngumu na kila siku tunamuona Abu Obaida mzungumzaji wa Hamas akizugumza akiwa hapo hapo Gaza... bado kuna mateka wapo hapo hapo Gaza...

Hapo Yemen kila siku wanarusha maroketi kwenda Tel Aviv... licha ya Israel kujibu Houthis hawachoki kujibu...

Leo hii atoke akapambane na Iran..
Tutakuwepo hapa
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
 
Patanuka soon
Kila Kauli Ina consequences, nashangaa pro hamas hapo juu wanawapamba Iran, kupamba huko ndio inawacost sana watu wa Gaza na familia zao ,,kila ukiwasha tv ni maiti tu , mji unanukia maiti, wao sababu ya kiburi wanawakumbatia magaidi, wanapigwa mabomu wanakufa wao na magaidi, kushadadia huku ndio itawacost pia hao mnaowaita wababe Iran na huyo kiongoz wao, wewe kusema utaifuta israel kwenye uso wa Dunia ni kosa kubwa sana naona kabisa Kuna watu wanaenda kupasuliwa vipande vipande na mwisho wa huyo ayatollah sjui naona unakaribia..
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
Wanajificha kwenye hospital, vyumba vya watoto..wodi za akina mama...
 
Kila Kauli Ina consequences, nashangaa pro hamas hapo juu wanawapamba Iran, kupamba huko ndio inawacost sana watu wa Gaza na familia zao ,,kila ukiwasha tv ni maiti tu , mji unanukia maiti, wao sababu ya kiburi wanawakumbatia magaidi, wanapigwa mabomu wanakufa wao na magaidi, kushadadia huku ndio itawacost pia hao mnaowaita wababe Iran na huyo kiongoz wao, wewe kusema utaifuta israel kwenye uso wa Dunia ni kosa kubwa sana naona kabisa Kuna watu wanaenda kupasuliwa vipande vipande na mwisho wa huyo ayatollah sjui naona unakaribia..
Kwamba Iran ni wa kujipigia tu!?.. wapalestina wasipambanie ardhi yao ambayo kila siku israel anaimega!?
 
Hapo pagumu ingawa panawezekana lakini nimeona Trump akimwambia Netanyahu, kwanza maliza Gaza kisha Iran usubiri mpaka hiyo nucler deal ikigoma.

Leo nimeona Iran inasema imeshapata Nuclear fomular na hwataki tena mazungumzo na Trump.
 
Mnacho sahau hao Hamas wanajificha kwenye mgongo wa raia Israel alipiga Dunia nzima mnaandama genocide
Kiongozi wa Hamas Sinwar aliyelipuliwa kichwa kikapasuka alikuwa amejificha kwa raia?
Mnachofeli ni kwamba, Hamas hawajifichi miongoni mwa raia lakini Hamas wanajificha kwenye magofu na mahandaki, huko chini kwenye mahandaki wana chakula, wana viwanda vya silaha, wana camera wanaona kinachoendelea huko juu..

IDF wanapoingia wanapigwa ambush na kushambuliwa, hamas wanapigana kwa guerilla tactics..

Nitakubali Hamas hapo Gaza wana kitengo chao cha intelligence ambapo baadhi ya hao agent nitakubali wapo miongoni mwa raia na wanapeleka taarifa zote kuhusu IDF hapo Gaza... kama ilivyo IDF ilivyo na agents ndani ya Hamas, Hezbollah n.k

Tazama hio video hapo chini uone IDF walivyo bananishwa kwenye ambush na Hamas Gaza wakawa wanalia kama watoto ... Vita si rahisi kama mnavyozungumza kama walevi wa pombe za kienyeji... hapo unaona Hamas wamejificha kwa raia?

View: https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78&t=67s
 
Kila Kauli Ina consequences, nashangaa pro hamas hapo juu wanawapamba Iran, kupamba huko ndio inawacost sana watu wa Gaza na familia zao ,,kila ukiwasha tv ni maiti tu , mji unanukia maiti, wao sababu ya kiburi wanawakumbatia magaidi, wanapigwa mabomu wanakufa wao na magaidi, kushadadia huku ndio itawacost pia hao mnaowaita wababe Iran na huyo kiongoz wao, wewe kusema utaifuta israel kwenye uso wa Dunia ni kosa kubwa sana naona kabisa Kuna watu wanaenda kupasuliwa vipande vipande na mwisho wa huyo ayatollah sjui naona unakaribia..
Unazungumza kama walevi kwenye kilabu za pombe za kienyeji...
IDF ilidhamiria kuua wananchi wa Gaza, kuna video hapa niliweka ikimuonyesha veteran wa IDF akiwaambia IDF wakiingia Gaza waue kuanzia watoto, wanawake n.k, hapo IDF ilikuwa kabla ya kuvamia Gaza... nikipata hio video nitaweka hapa...
 
Back
Top Bottom