Ndege waliyopanda "Boyz II Men" 1995 ni Ya Rostam

Ndege waliyopanda "Boyz II Men" 1995 ni Ya Rostam

Kwa Tarifa zenu Rostam He is a Men ,strong man and no one can touch him when I say no one I mean not even single person in TANZANIA not to day and not tomorrow .hii itakuwa ni kumbukumbu nitakuja kukumbusheni wasomaji wezangu ni vizuri kuwa mnatowa maoni yenu lakini jamaa ni Realy Master

Ni kweli he is a real man, ndio maana Pius alililia kuwa Mwenyekiti wa Vodacom, alikuwa kama mbwa koko anamfuata Chatu. Lakini besides yeye kuwa the real man, nasi ni binadamu wenye uwezo wa kutambua baya na zuri, na shurti tupiganie haki za mababu, na vitukuu vyetu
 
Serikali inaendeshwa kama kikosi cha zimamoto 😀
 
Hapana ...wala sio hasira, Hawa waungwana imefika wakati sasa wanapoteza muelekeo kabisa..Na kama kweli tunawatakia Mema ni bora kueleza wazi kuwa wanakosea kuliko kuwapamba kwa uongo!!!Sina Bifu na Muungwana ni mtu ninayemuheshimu sana tu....Lakini uwezo wake wa Uongozi umekuwa unapungua kwa kasi mno...mwanzo nilifikiri kuwa labda ni uoga na ushikaji ndio unamfanya awe na unyonge....lakini sasa nafikiri kuna tatizo kubwa zaidi ya hayo....Mwenzangu kama huoni basi mapenzi yako yatakuwa yamekutia upofu.....

Tulichokosea ni kutokuzingatia kuwa tabia ya mtu huonekana kwa kuwatazama anaoshirikiana nao. Uungwana ni kitendo na kama unashindwa kutenda, uungwana ni kujiondoa na kumwachia anayeweza kutenda. Uzalendo ni pamoja na kutokuogopa kumwambia ukweli anayeboronga na kuwa tayari kumwondoa akishindwa kazi.

Mtu aliyeweza kukaa kimya bila kukemea tamko la baadhi ya viongozi wa dini kuwa yeye eti ni chaguo la Mungu ...hakika ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. Wengine kwa sababu mbali mbali tuliona mapungufu katika uwezo wake toka awali lakini nani angetusikiliza ? tumkatae chaguo la Mungu tumpe kura nani - chaguo la shetani ?

Laiti tungejua !!🙁
 
nakumbuka kwamba boyz to men walivyowasilisha fomu za uraisi 1985, walikwenda kwa ndege, na ndege hiyo ilitolewa na Rostam azizi kama sikosei, kwa kampuni iliyo Kenya, hivyo inabidi tuanzie huko ili kupata Mzizi wa Madudu yanayo tokea Leo

So what?
 
Just curious...zile suti walizovaa nazenyewe nilinunuliwa na Mh RA?
 
Hivi hakuna muungwana anayefanya kazi JKNIA (DIA) au Dodoma Airport akatutafutia data za ile ndege ili tuanze kudodosa mpaka mahusiano kamili ya JK na Rostam yawekwe wazi?

Huko bungeni na ndani ya CCM wameshashindwa kumuweka Kikwete kiti moto, lakini tukiweka data mtandaoni, wanamagazeti wanaweza kutusaidia angalau kumfanya JK asiendelee beyond 2010.

Hovyoo, ndio iwe nini? Kama kapanda ndege ya Rostam it simply proves kuwa Rostam ni kizito kabla JK hajaingia madarakani. Huo utajiri aliupata lini? I think kama sikosei ni wakati wa nyerere. Duhhh!
 
Just curious...zile suti walizovaa nazenyewe nilinunuliwa na Mh RA?

Kumbuka JK wakati huo alikuwa ni waziri wa mambo ya nje, kwa hiyo hizo suti sio tatizo inawezekana kaanza kuvaa suti kabla wewe hujaijuwa suti ni nini!
 
Kumbuka JK wakati huo alikuwa ni waziri wa mambo ya nje, kwa hiyo hizo suti sio tatizo inawezekana kaanza kuvaa suti kabla wewe hujaijuwa suti ni nini!

Wala hujakosea anaweza kuwa hata mzazi wangu kwa tofauti ya umri tulionao!!
 
Kumbuka JK wakati huo alikuwa ni waziri wa mambo ya nje, kwa hiyo hizo suti sio tatizo inawezekana kaanza kuvaa suti kabla wewe hujaijuwa suti ni nini!

kuweka rekodi sawa:JK hakuwahi kuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali ya mwinyi.
tuje kwenye mada:ile ndege walikodi wenyewe kwa pesa yao.
 
Last edited:
Mkuu,
Mbona hii imekaa kana kwamba 'unabifu' na mmoja wapo? Nimekuwa nikisoma michango yako mingi lakini huu nikiusoma ninaona uko nje kabisa na standards zako nilizozizoea? nimekuwa nikikuona mara nyingi ukisistiza constructive criticism...kulikoni... au hasira?

Usanii ukipitiliza sana unakera...pengine ni hasira tu
 
Hivi hakuna muungwana anayefanya kazi JKNIA (DIA) au Dodoma Airport akatutafutia data za ile ndege ili tuanze kudodosa mpaka mahusiano kamili ya JK na Rostam yawekwe wazi?

Huko bungeni na ndani ya CCM wameshashindwa kumuweka Kikwete kiti moto, lakini tukiweka data mtandaoni, wanamagazeti wanaweza kutusaidia angalau kumfanya JK asiendelee beyond 2010.
**************************

Makaayamawe:
: Asiendelee beyond 2010? R U serious unayoyasema? nani atazuia, kwani kikundi hicho kina mahela kibao ya kuweza yeye kuendelea tu, hata pengine kubadilisha katiba na kuondoa ukomo.

Unabisha kwa hili? wangapi katika Bara hili wameshafanya au wamejaribu kufanya? - Muluzi, Chiluba, Moi, Kagame, Bongo, Museveni, Bouteflika, Biya et al. Hawa wetu hapa wanatofautiana nini na hao -- hasa katika ufisadi?

Mahela mengine bado yanatafutwa: IDs, Dowans na mengineyo tutakayoyasikia, yote yataelezwa eti ni kwa masilahi ya wananchi. Hebu nijulisheni, minara pacha ni kwa masilahi ya wananchi, au Deep Green?

JK kesha sema haendi tena majuu, anabakia hapa kuangalia hakuna mnoko wa kumnyang'anya mnofu mdomoni ifikapo 2010.
 
Loh!!! Vichekesho aliemkubali yeye Mwalimu alichofanya ni kipi? zaidi ya UFISADI Mnanishangaza watanzania wenzangu hata kama macho Hamna Basi masikio pia Hamna???? Hayati Baba wa taifa ni Binadamu Kama Binadamu Mwingine Kweli Kwa Busara zake nilikuwa Namkubali Lakini yeye Hakuwa Malaika jamani!!!!!! Kama alimkataa JMK Kisa ni Umri au Uzoefu katika Mbona JFK alitawala US akiwa na Umri Wa Miaka 41??? Tena Jitaifa Kubwa Mara 20 ya Tanzania???? Na Kama alimkataa EL Mbona aliishia kumwambia Ben atabinafshisha mpaka magereza???? Nini kilichofuata baada ya kifo chake? acheni Majungu Nchi mtaipeleka Pabaya kwa Chuki zisio Na faida...Hakuna jipya Hapo Ni majungu na chuki...Leo Matatzo yote ametutakia huyo huyo mwalimu Jitu Limeuza kila kitu Limejibinafishia Kila Kitu Na shemeji zake na Mkewe
 
nakubaliana wewe kwamba Nyerere si malaika, na aliyetuibia ni pamoja na Ben aliye wekwa na mwalimu. lakini hapa cha msingi ni kuzui kuendelea kuibiwa na ikiwezekana kurudisha alicho iba Ben, lakini hali ilivyo sivyo, ben kaiba na bado tunaendelea kuibiwa. na zaidi ya hapo wanaacha kuweka vitu vya msingi. kama umeme wa kutosheleza zi wa vibaba
 
Nimekuelewa Na Pia nashukuru umenielewa wakati wa serikali ya awamu ya tatu kiongozi wa juu(na maanisha mwenye wadhifa mkubwa au aliepata kuwa na wadhifa mkubwa serikilani) aliepata kushtakiwa kwa uhujumu uchumi au ufisadi ni Nalaila Kiula pekee yake je uta-Compare na serikali hii tulionayo? Umeona mwenyewe Basi hata katika sula zima la kuisafisha nchi,jamii yetu na mfumo mzima hata angetuongoza nani asiengeweza kuibalisha kwa kipindi kifupi namna Mnachotaka,Mbaya zaidi watanzania tumepata kutoa Duku duku atleast tunaweza ku-comment tunachoweza si rahisi kupambana na Watu Strong kama magufuli,Yona,Mramba,Lowasa,Chenge Na wengineo Nchi inaongozwa na utawala wa kisheria bwana Mikataba mingine imewekwa kifisadi kifisadi sasa kama mkataba wa IPTL,NBC,Migodi au ununuaji Rada,ndege ya(rahisi) Rais nk.
 
Hapana ...wala sio hasira, Hawa waungwana imefika wakati sasa wanapoteza muelekeo kabisa..Na kama kweli tunawatakia Mema ni bora kueleza wazi kuwa wanakosea kuliko kuwapamba kwa uongo!!!Sina Bifu na Muungwana ni mtu ninayemuheshimu sana tu....Lakini uwezo wake wa Uongozi umekuwa unapungua kwa kasi mno...mwanzo nilifikiri kuwa labda ni uoga na ushikaji ndio unamfanya awe na unyonge....lakini sasa nafikiri kuna tatizo kubwa zaidi ya hayo....Mwenzangu kama huoni basi mapenzi yako yatakuwa yamekutia upofu.....

Mkuu,
Sio upofu mkuu, isipokuwa hapa kwenye forum hakuna madaraja ya kuwapanga watu kwa uchangiaji wao, lakini hata hivyo kuna baadhi ya watu mmojawapo ni wewe ambao mmekuwa ni mfano wa kuigwa kwa jinsi mnavyoweza kuchangia na vilevile kuwa wepesi wa kurekebisha mielekeo ya threads hasa pale zinapokwenda nje ya mstari. Sikufahamu kwa sura wala umbo, lakini ninakufahamu kama ni mtu mahiri mwenye tafakari nyingi zisizo na pupa, mara nyingi ninakuona kama mediator. Kila la heri mkuu!
 
Mkuu wanaofikishwa pale kisutu ni wale ambao hawaivi na jk, wale majangili wanaoiva na jk hawafika kisutu hata siku moja
 
Hovyoo, ndio iwe nini? Kama kapanda ndege ya Rostam it simply proves kuwa Rostam ni kizito kabla JK hajaingia madarakani. Huo utajiri aliupata lini? I think kama sikosei ni wakati wa nyerere. Duhhh!

Acha uongo wewe,RA enzi za mwalimu alikuwa kapuku fulani kule kijijini Igunga
 
Acha uongo wewe,RA enzi za mwalimu alikuwa kapuku fulani kule kijijini Igunga

Jibu, ikiwa kabla ya wakati wa JK kuwa kiongozi Rostam ana ndege au anauwezo wa kukodisha ndege, hizo fedha alizipata lini? kama si wakati wa nyerere basi wa nkapa au?
 
Back
Top Bottom