Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wakuu habari za muda huu!

Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwa.

IMG_20220519_093224_391.jpg
IMG_20220519_093239_675.jpg
 
Fata ushauri wa wadau mda wa kuvunwa umefika ukichelewa zikikauka sana mbegu nyingi zitapotea kipindi cha mavuno
 
Back
Top Bottom