Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

Sijaona ushauri wa awafanye nini hao Ndege.

Hata akivuna akaweka atakapoweka si bado hao Ndege wapo around, watalalamika tu msosi wao kuhamishwa.
 
Vuna upesi bei ipungue huku mjini wee vipi ndugu mkulima😑
 
Back
Top Bottom