Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Shukrani sana mkuu kwa muongozoHiyo stage ndio inafaa kuvunwa na huweza kutoa mafuta mengi kuliko ukiacha zikauke,Mimi nimelima sana na kwenda kuchuja na kuuza mafuta enzi hizo.
Siyo itakuwa kazi mara mbili?Kata na shina lake, rundika kwa kusimamisha mafungu halafu anza kukata vichwa ukiwa umetulia
Kweli nilitoa mwongozo lakini itaongeza gharama. Bora kukata vichwa ila hakikisha unavitandaza. Ukivirundika mbegu zitaoza na kutoa mafuta yanayokereketa.Siyo itakuwa kazi mara mbili?
Wakuu habari za muda huu!
Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwaView attachment 2230674View attachment 2230676
Shukrani sana mkuuExactly zipo teyal kuvunwa, ukisubiri hadi zikauke zitapotea nyingi unapozipukuchua
Hiyo stage ndio inafaa kuvunwa na huweza kutoa mafuta mengi kuliko ukiacha zikauke,Mimi nimelima sana na kwenda kuchuja na kuuza mafuta enzi hizo.
Kweli nilitoa mwongozo lakini itaongeza gharama. Bora kukata vichwa ila hakikisha unavitandaza. Ukivirundika mbegu zitaoza na kutoa mafuta yanayokereketa.
KashapewaPole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
Nalima ndiyoMkuu unalima hili zao...?
Wewe kila thread, comment yakoni hii tuPole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
Hakika...Wewe kila thread, comment yakoni hii tu
Shukrani mkuuFata ushauri wa wadau mda wa kuvunwa umefika ukichelewa zikikauka sana mbegu nyingi zitapotea kipindi cha mavuno
Vuna utavuta mabua!mimi nimevuna hivyohivyo!na yamekauka,ila usiyarundike sehemu moja yaweke mbalimbali.Wakuu habari za muda huu!
Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwa.
View attachment 2230674View attachment 2230676