Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

Sijaona ushauri wa awafanye nini hao Ndege.

Hata akivuna akaweka atakapoweka si bado hao Ndege wapo around, watalalamika tu msosi wao kuhamishwa.
 
Vuna upesi bei ipungue huku mjini wee vipi ndugu mkulimašŸ˜‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…