Ndege ya ATCL number TC 106 Bomberdier, tairi moja ni kipara mpaka nyuzi zinaonekana kabisa

Hii ni hatari kuliko wanavyodhani. Hapo Engineer aliekagua na kujaza log book ahojiwe. Rubani pia anatakiwa kuhojiwa kwanini aruhusu kuruka na tairi kama Hilo.

Nafikiri Matindi na Timu yake wajichunguze
 

Habari hii imfikie kamanda Mkuu wa wale wabrashi viatu maarufu, kamanda Mutafungwa.
 
Labda Traffic waruhusiwe kufanya ukaguzi wa tairi za ndege la sivyo ni mwendo wa mazoea
 
Wakirudi watakuja na spare.
 
Kibongobongo tairi mpk litoboke ndio wanareplace.

Mambo ya kufuata global standards za kureplace matairi baada ya ndege kuruka hewani idadi flani ya masaa wala ATCL hawana habari nayo.

Labda mpaka utokee mzinga ndio watapata akili. Ila as usual, tutasema ni “mipango ya Mungu”
 
Stori kama stori uwe ndani uone tairi hili ajabu jingine la dunia hongera kupanda nawe kunguru
Ajabu gani? Kutegemea na ulipokaa, mbona tairi unaziona kabisa kabla hazijakunjwa baada ya ndege kupaa; au matairi yakikunjuliwa wakatii ndege inakaribia kutua. Zaidi ya hayo, mtoa mada amekupa na picha ya hizo tairi. Sasa ubishi wa nini?
 
Badala ya kutatua Tatizo utashangaa Mtoa mada(taarifa) anatafutwa atekwe na awekwe ndani bila dhamana.

Nchi yetu ina shida
Tulishapita hizo stage za kishamba Sasa hivi tunaongea American English through the nose.
(It want tourism it show royal tour, the tourist come mwamwamwa, the us dollar twatwatwa full)
 
HUOGOPI KUTEKWA NA KUULIWA? ACHA NDEGE ZIPIGE MZIGO... PUNDA AFE MZIGO UFIKE.
 
kwani tairi za ndege zinauzwa pesa ngapi halafu kweli hili akina Zitto & Pascal Mayalla wameshindwaje kulisemea wakati wao wanapanda pipa kila week
Unapopanda ndege jua kuwa TCAA wameshajiridhisha na usalama wa ndege husika. Kuwa na amani kabisa.
Hiyo tairi bado ni nzima sana. Kuonekana hizo nyuzi siyo kigezo. Tairi hizi ni ngumu mno.
 
Tulishapita hizo stage za kishamba Sasa hivi tunaongea American English through the nose.
(It want tourism it show royal tour, the tourist come mwamwamwa, the us dollar twatwatwa full)

Haichekeshi ila acha nifurahi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…