Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

Route za Ndege zina prefer.. near the Ocean.. nahisi kwa xxbabu ya Usalama + kukwepa charging fees za nchi...
 
Hao jamaa wanagombea nini?halafu si tuko nao kwenye jumuiya ya Africa mashariki?
Walifanya makosa kuruhusu Nchi moja kuwa na Majeshi mawili yanayoendeshwa na Makamanda wawili tofauti.

Sudani ya kaskazini haiko kwenye Jumuia ya Afrika ya Mash ni Sudani ya Kusini iliyojitenga ndio iko kwenye Jumuia yetu.
 
Unafikiri kutua kwa dharura kwa ndege ni sawa na breakdown ya basi la sauli au kimbinyiko watu wafaulishwe kwenye Costa na hotels zenu hizo za mama ntilie
 
Ndege husafiri sana kupitia baharini kukwepa omba vibali kila nchi inayopita na kulipia mara kwa mara.

Na saa zingine huangalia njia fupi ili wasii gie gharama ya mafuta
Itoshe tu kusema huna ufahamu wala elimu hii ya safari routes za ndege na utaratibu ama ulazima wake ipite wapi na kwanini.
Kuna uzi humu fukua
 
haya mambo bwana, nimetoka Sao Paulo, nitue DXB then nipate connection yakuja Bongo, dubwana limekuja bongo naomba kushuka nimefika hawataki eti mpala niende DXB then again vingunguti..
Wamekukazia au siyo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…