Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

haya mambo bwana, nimetoka Sao Paulo, nitue DXB then nipate connection yakuja Bongo, dubwana limekuja bongo naomba kushuka nimefika hawataki eti mpala niende DXB then again vingunguti..
Wacha kututia changa hao abiria watalala Dar sasa utashindwa vp ku-terminate? Au unafikiria hawashuki?
 
Yaani unafurahia matatizo ya watu jamani, wenzio safari yao imeingia mushkeli, au ndo vile kufa kufaana? [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inafuel kivipi wakati wamesema inatua kwaa ajili ya ufundi
This is from BBC
“International flights appear to be avoiding Sudanese airspace as they cross the continent.

Aviation analyst Alex Macheras has been tracking flights on the FlightRadar24 website and has noticed that they are all avoiding the area.

This means that the journeys will take longer and the planes may need extra fuel.

An Emirates flight from Brazil to the UAE is making an unsceduled stop in Tanzania to refuel "due to the sudden requirement to avoid Sudan’s airspace", Macheras has tweeted.

FightRadar24 also shows that the Kenayn Airways flight KQ103 from London to Nairobi, which on Friday flew over Sudan, has today taken a different route over the Red Sea and Eritrea.”
 
Ndege sio basi ndg yangu.
Lazima upitie mipaka sawa na tiketi yako...huwezi kujiamlia ujishukie tu
Kwa mfano kwenye hio ndege kama kungekua na abiria wa bongo asingeweza kushuka hadi warudi Dubei?,
 
Ndege kubwa ya abiria aina ya #Airbus #A380 ya shirika la ndege Emirates yatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA) kwa sababu za kiufundi.
Hii ni mara ya pili kwa ndege hii kubwa ya abiria ulimwenguni kutua. uwanja wa ndege wa #JNIA.

Aidha ndege hiyo yenye safari namba EK262 kutoka Sao Paulo kwenda #Dubai inadhaniwa kuepuka anga la Sudan kutokana na machafuko ya kisiasa.

View attachment 2589082
Nilishawahi panda hili dege, ni very comfortable.
 
Hy Sao paulo c ni Brazil.? Inakuaje njia rahisi ya kwenda dubai iwe Afrika ya Kati/Mashariki.?
Binafsi naona kama kupita Afrika Kaskazini ndio njia rahisi na pekee.

Inabidi kuwa macho na twiga wetu hapo
 
Nilishawahi panda hili dege, ni very comfortable.
Ndio ndege ya abiria iliyo salama mpk sasa kuwahi kutokea,pia haijawahi kupata ajali ya kupoteza maisha ya watu tokea zilipoingia sokoni mwaka 2005...
 
Route za Ndege zina prefer.. near the Ocean.. nahisi kwa xxbabu ya Usalama + kukwepa charging fees za nchi...
Hapana bro, angalia route ya kutoka Dubai au Doha kwenda Australia , njia fupi ilikuwa kukatiza katikati ya Indian Ocean lakini sio hivyo bali inaambaa ambaa nchi kavu karibu na viwanja vya ndege mpaka ifike destination kutokana na mawasiliano na dharura inayoweza kujitokeza ..
 
Back
Top Bottom