Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

Urusi hawezi kununua ndege ya gharama. Si mlisema ni maskini?
duh lin wamesema urus maskin kiwango cha kutonunua ndege , nyiny watu kuna nati zimelegea sio bure
 
Su 35 ni very expensive na su 24 ni old model toleo lake jipya ni su 25

Soma vizuri kilichoandikwa na mleta mada. Ni wapi aliposema ni Su-24? Su-24 ni old model lakini kwenye mada hii ni Su-24M na hii ni New Version.
 
Hii habari Ni uzushi , CNN, CBS news, aljazeera, BBC hii wangekula nayo sahani moja lakini hatujaona sehemu yeyote Ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…