Ndege ya kijeshi ya Marekani ikiwa na Mkuu wa CIA yatua Moscow

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Ndege ya Jeshi la Marekani ikiwa na ujumbe mzito ukiongozwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA yatua Moscow Urusi.

Kwa mujibu wa taarifa za shirika la BBC na CBS, John Ratcliffe ambaye ni Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA),, amesafiri hadi Moscow kwa mazungumzo ambayo hayakutangazwa

Ratcliffe aliripotiwa kuwasili katika mji mkuu wa Urusi mapema Jumanne. Hata hivyo, Washington wala Moscow hazijathibitisha rasmi lengo la ziara hiyo haikuwekwa wazi kuwa anaenda kufanya nini. Haijulikani anaenda Urusi Kwa madhumuni gani. Safari imekua ni ya ghafla na kimyakimya.
​
1787751525116.png

John Ratcliffe, Mkuu wa CIA​
===============

The head of the US Central Intelligence Agency (CIA) has travelled to Moscow for unannounced talks, the BBC's US news partner CBS has reported.

John Ratcliffe reportedly arrived in the Russian capital earlier on Tuesday. Neither Washington or Moscow have confirmed the nature of the visit or who he was due to meet.

In-person talks between high-level American and Russian officials are rare.

Flight tracking data confirmed a large US military aircraft travelled to Russia from the US via Latvia on Tuesday. It departed later on Tuesday.

BBC News has contacted the CIA, the White House and Pentagon for comment.

Footage posted on social media showed the C-17 transport plane approaching Moscow's Vnukovo international airport.

It departed Riga airport at 05:50 GMT and appeared to have landed in the Russian capital at around 07:04 GMT, according to data from FlightRadar24. It returned to Riga shortly before 17:00 GMT.

Footage on social media also purported to show a diplomatic motorcade travelling through Moscow.

Source: BBC
 
🇺🇸🇷🇺 U.S. FLAGS REPORTEDLY REMOVED FROM AMERICAN EMBASSY IN MOSCOW

The U.S. Embassy in Moscow has reportedly taken down all previously flown American flags, according to circulating reports.

The development comes shortly after the reported visit of CIA Director John Ratcliffe to Moscow. The significance of the move remains unclear.
 
Dah!
 
Probably ishu ni Ukraine na Iran...Zipo Kila dalili zinazoonesha sasa Russia anakwenda kufanya mass mobilization ya Jeshi kwaajili ya kazi au operation Kali kabisa na ishu ya Iran kuhusu biashara na Russia, US anataka kumbana Russia aachane na Iran, kumbuka Trump tayari kashaweka zuio Kwa Iran la kufanya biashara Kwa partners zake wote...

Mwaka 2021 Nakumbuka CIA director alimtahadharisha Putin asivamie Ukraine but Putin aliivamia kama kawaida...

Kumbuka Putin anataka ahakikishiwe kuwa Ukraine inakuwa neutral, kinyume na hapo hakuna neno atakalolielewa so maybe CIA boss amekwenda na dili zuri mezani,kama ni maneno matupu basi Putin hawezi kukubali lazima safari hii atatumia nguvu kubwa Sana kwenye field maana Ukraine wamekuwa wakipiga sehemu muhimu za Russia siku hizi Kwa msaada wa NATO hasa UK, Germany...NATO kuna kitu wanakitafuta.
 
Hao kumbe wanajulikana lakini huku kwetu wanafichwa eti kwaajili ya usalama 😅
 
Mzee Russia muda huu maji ya shingo. Watu wanaenda kutengeneza ya mazingira ya kulimaliza kiutu uzima maana mkubwa kakwama na Ukraine sasa hiv wanapigana sio wanapigwa
 
Aisee!
Kama Russia ni maji ya shingo,Sasa huyo CIA ndio kaenda kuyatoa hayo maji?
Kwa ni Russia ndio wasiende USA kuomba maji ya shingo yatolewe?

Hivi unajua kitabia kua mtu mwenye shida ndio hua anaenda kwa mwenye uwezo?

Yaani wewe una Njaa,Mimi Nina chakula halafu nije kwako mwenye Njaa kukuomba nikusaidie imekaa sawa hiyo?
 
Mkuu, kuna mobilization CIA wameinusa au kuiona ndio maana director wao kaenda Fasta Russia ili kuishawishi Russia isifanye inachotarajia kufanya, Russia amepigwa maeneo kadhaa ya kimkakati hivyo anataka kumaliza mchezo kabisa na kuna namna NATO ataathirika na Kingine ni ishu ya Iran...

Probably kuna asilimia kubwa Sana Russia wamekataa walichoambiwa na huyo Director maana madai ya Russia kuhusu Ukraine Yapo wazi na msemaji wa Kremlin anayasema Kila Mara...Ngoja tuone mwisho itakuaje.
 
Mkuu hizo mambo Russia kashafanya hii ni mara ya Tatu. Na kote kafeli na hii nayo atafeli. Ishu iko hiv Russia jana kaonyesha bom la nyuklia. Which means anawatisha Nato. Lakin kama unavyojua mmarekan anaangalia hiyo nchi ndio yenye nyuklia nyingi zaid so ikibanwa katika levo ya kukosa majibu ya tatizo lake inaweza kupanic na kuzitumia ikawa mwisho wa hii sayar. So kinachotokea na kumuokoa mkubwa na aibu. Maana Ukraine kashazoea taabu na kashajipanga kuendana na taabu zake
 
Aisee!
Kama Russia ni maji ya shingo,Sasa huyo CIA ndio kaenda kuyatoa hayo maji?
Kwa ni Russia ndio wasiende USA kuomba maji ya shingo yatolewe?

Hivi unajua kitabia kua mtu mwenye shida ndio hua anaenda kwa mwenye uwezo?

Yaani wewe una Njaa,Mimi Nina chakula halafu nije kwako mwenye Njaa kukuomba nikusaidie imekaa sawa hiyo?
Mzee hii dunia haiko kama unavyofikiria. Ukijua kwanini china haichukui Taiwan kijeshi ndio utajua mambo kwa ground haiko hivyo.
 
Back
Top Bottom