LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
subscribed
Mkuu hizo mambo Russia kashafanya hii ni mara ya Tatu. Na kote kafeli na hii nayo atafeli. Ishu iko hiv Russia jana kaonyesha bom la nyuklia. Which means anawatisha Nato. Lakin kama unavyojua mmarekan anaangalia hiyo nchi ndio yenye nyuklia nyingi zaid so ikibanwa katika levo ya kukosa majibu ya tatizo lake inaweza kupanic na kuzitumia ikawa mwisho wa hii sayar. So kinachotokea na kumuokoa mkubwa na aibu. Maana Ukraine kashazoea taabu na kashajipanga kuendana na taabu zake
USA🇺🇸 na fupa lake Iran🇮🇷 limekuwa kikwazo kwake mambo ni 🔥🔥🔥Mwaka 2021 CIA director William Burns aliongea na Putin na kumuonya asishambulie Ukraine...Nafikiri Ikifika hatua ya mkuu wa Taasisi ya ujasusi kuingia front yeye mwenyewe Jua kuna Jambo kubwa wameona Lina asilimia kubwa kufanyika na wala hakuna utani katika Hilo, probably ni kuhusu NATO allies.
Tabu hazizoeleki mkuu ndiyo maana watu wanapambana kujikwamuaMkuu hizo mambo Russia kashafanya hii ni mara ya Tatu. Na kote kafeli na hii nayo atafeli. Ishu iko hiv Russia jana kaonyesha bom la nyuklia. Which means anawatisha Nato. Lakin kama unavyojua mmarekan anaangalia hiyo nchi ndio yenye nyuklia nyingi zaid so ikibanwa katika levo ya kukosa majibu ya tatizo lake inaweza kupanic na kuzitumia ikawa mwisho wa hii sayar. So kinachotokea na kumuokoa mkubwa na aibu. Maana Ukraine kashazoea taabu na kashajipanga kuendana na taabu zake
Mzee mwanadamu anao uwezo wa kuzoea chochote na akajipanga kuendana na mazingira yake kujikwamua mzee. Ndio maana kuna masikin au kilemaTabu hazizoeleki mkuu ndiyo maana watu wanapambana kujikwamua
Hasa EnglandMwaka 2021 CIA director William Burns aliongea na Putin na kumuonya asishambulie Ukraine...Nafikiri Ikifika hatua ya mkuu wa Taasisi ya ujasusi kuingia front yeye mwenyewe Jua kuna Jambo kubwa wameona Lina asilimia kubwa kufanyika na wala hakuna utani katika Hilo, probably ni kuhusu NATO allies.
Yes! You're right 👍Mkurugenzi wa CIA aliiomba Ukraine iache kwa muda kuishambulia Russia hadi amalize ziara yake fupi huko Moscow.
Mazungumzo ya huyo gwiji wa CIA na afisa usalama wa Russia inaonekana ilikuwa inaihusu zaidi Iran.
![]()
CIA Director John Ratcliffe met Russian intel counterparts on secretive visit to Moscow, Kremlin says
The Kremlin spokesman says CIA Director John Ratcliffe met Russian counterparts during a secretive visit to Moscow, but it's unclear what came of the talks.www.cbsnews.com
Watu wanaamini Russia yuko vibaya na mobilization lakini ikumbukwe North Korea yuko anajiandaa kuipelekea wanajeshi hata 300,000 atatoa makubaliano yakiwa mazuri kwake.Probably ishu ni Ukraine na Iran...Zipo Kila dalili zinazoonesha sasa Russia anakwenda kufanya mass mobilization ya Jeshi kwaajili ya kazi au operation Kali kabisa na ishu ya Iran kuhusu biashara na Russia, US anataka kumbana Russia aachane na Iran, kumbuka Trump tayari kashaweka zuio Kwa Iran la kufanya biashara Kwa partners zake wote...
Mwaka 2021 Nakumbuka CIA director alimtahadharisha Putin asivamie Ukraine but Putin aliivamia kama kawaida...
Kumbuka Putin anataka ahakikishiwe kuwa Ukraine inakuwa neutral, kinyume na hapo hakuna neno atakalolielewa so maybe CIA boss amekwenda na dili zuri mezani,kama ni maneno matupu basi Putin hawezi kukubali lazima safari hii atatumia nguvu kubwa Sana kwenye field maana Ukraine wamekuwa wakipiga sehemu muhimu za Russia siku hizi Kwa msaada wa NATO hasa UK, Germany...NATO kuna kitu wanakitafuta.
Ok Mimi sijui Dunia kama ninavyofikiria,lkn wewe Mtanzania mwenzangu unajua.Mzee hii dunia haiko kama unavyofikiria. Ukijua kwanini china haichukui Taiwan kijeshi ndio utajua mambo kwa ground haiko hivyo.
Kwamba Director wa CIA kamuonya RAIS wa Russian Federation Putin?Mwaka 2021 CIA director William Burns aliongea na Putin na kumuonya asishambulie Ukraine...Nafikiri Ikifika hatua ya mkuu wa Taasisi ya ujasusi kuingia front yeye mwenyewe Jua kuna Jambo kubwa wameona Lina asilimia kubwa kufanyika na wala hakuna utani katika Hilo, probably ni kuhusu NATO allies.
Kwani ww neno kuonya unafikiri Lina maana gani, neno "kuonya" ni kutoa tahadhari na sio kwamba ukionywa ww ni inferior au Huna uwezo au Huna nguvu!. Neno kuonya Kwa wenzetu Wazungu halichukuliwi serious kama unavyolichukulia ww Tanzania kulingana na jinsi ulivyolelewa...Kwamba Director wa CIA kamuonya RAIS wa Russian Federation Putin?
mzee kukaa na nyerere au kusafir sana sio kujua kila kitu mkuu. mi mwenyewe bongo mara chache maana biashara zangu nyingi ni za hisa na bondi huko kwenye dunia yao. So kwa uzoefu wangu na mazingira ninayokutana nayo lazima ujifunze policy za ulimwengu au za eneo mahali kabla hujaingiza hela yako sehem. ningefanikiwa kupata muda ningekuambia jitahid kusoma vitabu vinavyoelezea namna ubepari unafanya kazi. mara nyingi unachokiona sicho na kinachosemwa sio uhalisia. dunia inaendeshwa kwa ghiliba kubwa sana. hata haya mademokrasia ni wizi tu. so jifunze kudance accodingly kama unataka kweli kuwa bilionea.Ok Mimi sijui Dunia kama ninavyofikiria,lkn wewe Mtanzania mwenzangu unajua.
Ilhali Mimi na wewe hatujuani kazi zetu wala fani zetu.
Hivi nilikuambia Mimi nimesafiri nchi nyingi sana hapa duniani nikiwa ktk ofisi ya Mlm Nyerere ya SouthSouth commission utakubali?
Na huko Ndiko nilikojifunza mambo mengi?