Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Hapa kwetu wangefungiwathe BBC's US news partner CBS has reported.
😂😂😂😂😂Naona wameenda kuwaombea POOO Ukraine
Dah!🇺🇸🇷🇺 U.S. FLAGS REPORTEDLY REMOVED FROM AMERICAN EMBASSY IN MOSCOW
The U.S. Embassy in Moscow has reportedly taken down all previously flown American flags, according to circulating reports.
The development comes shortly after the reported visit of CIA Director John Ratcliffe to Moscow. The significance of the move remains unclear.
Kivipi Mwamba?Huko Ukraine CIA wanateketea
Mzee Russia muda huu maji ya shingo. Watu wanaenda kutengeneza ya mazingira ya kulimaliza kiutu uzima maana mkubwa kakwama na Ukraine sasa hiv wanapigana sio wanapigwaProbably ishu ni Ukraine na Iran...Zipo Kila dalili zinazoonesha sasa Russia anakwenda kufanya mass mobilization ya Jeshi kwaajili ya kazi au operation Kali kabisa na ishu ya Iran kuhusu biashara na Russia, US anataka kumbana Russia aachane na Iran, kumbuka Trump tayari kashaweka zuio Kwa Iran la kufanya biashara Kwa partners zake wote...
Mwaka 2021 Nakumbuka CIA director alimtahadharisha Putin asivamie Ukraine but Putin aliivamia kama kawaida...
Kumbuka Putin anataka ahakikishiwe kuwa Ukraine inakuwa neutral, kinyume na hapo hakuna neno atakalolielewa so maybe CIA boss amekwenda na dili zuri mezani,kama ni maneno matupu basi Putin hawezi kukubali lazima safari hii atatumia nguvu kubwa Sana kwenye field maana Ukraine wamekuwa wakipiga sehemu muhimu za Russia siku hizi Kwa msaada wa NATO hasa UK, Germany...NATO kuna kitu wanakitafuta.
Aisee!Mzee Russia muda huu maji ya shingo. Watu wanaenda kutengeneza ya mazingira ya kulimaliza kiutu uzima maana mkubwa kakwama na Ukraine sasa hiv wanapigana sio wanapigwa
Mkuu, kuna mobilization CIA wameinusa au kuiona ndio maana director wao kaenda Fasta Russia ili kuishawishi Russia isifanye inachotarajia kufanya, Russia amepigwa maeneo kadhaa ya kimkakati hivyo anataka kumaliza mchezo kabisa na kuna namna NATO ataathirika na Kingine ni ishu ya Iran...Mzee Russia muda huu maji ya shingo. Watu wanaenda kutengeneza ya mazingira ya kulimaliza kiutu uzima maana mkubwa kakwama na Ukraine sasa hiv wanapigana sio wanapigwa
Mkuu hizo mambo Russia kashafanya hii ni mara ya Tatu. Na kote kafeli na hii nayo atafeli. Ishu iko hiv Russia jana kaonyesha bom la nyuklia. Which means anawatisha Nato. Lakin kama unavyojua mmarekan anaangalia hiyo nchi ndio yenye nyuklia nyingi zaid so ikibanwa katika levo ya kukosa majibu ya tatizo lake inaweza kupanic na kuzitumia ikawa mwisho wa hii sayar. So kinachotokea na kumuokoa mkubwa na aibu. Maana Ukraine kashazoea taabu na kashajipanga kuendana na taabu zakeMkuu, kuna mobilization CIA wameinusa au kuiona ndio maana director wao kaenda Fasta Russia ili kuishawishi Russia isifanye inachotarajia kufanya, Russia amepigwa maeneo kadhaa ya kimkakati hivyo anataka kumaliza mchezo kabisa na kuna namna NATO ataathirika na Kingine ni ishu ya Iran...
Probably kuna asilimia kubwa Sana Russia wamekataa walichoambiwa na huyo Director maana madai ya Russia kuhusu Ukraine Yapo wazi na msemaji wa Kremlin anayasema Kila Mara...Ngoja tuone mwisho itakuaje.
Mzee hii dunia haiko kama unavyofikiria. Ukijua kwanini china haichukui Taiwan kijeshi ndio utajua mambo kwa ground haiko hivyo.Aisee!
Kama Russia ni maji ya shingo,Sasa huyo CIA ndio kaenda kuyatoa hayo maji?
Kwa ni Russia ndio wasiende USA kuomba maji ya shingo yatolewe?
Hivi unajua kitabia kua mtu mwenye shida ndio hua anaenda kwa mwenye uwezo?
Yaani wewe una Njaa,Mimi Nina chakula halafu nije kwako mwenye Njaa kukuomba nikusaidie imekaa sawa hiyo?