Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Pigo kubwa kwa walinda legacy and co!!!
 
Viva JPM. Ndege kanunua JPM
Alitoa wapi pesa za kununulia? His own money? Mbona mnakua wajinga kwa ushabiki wa hovyo? Hata angenunua rais kutoka upinzani ni mali ya Taifa!!!
 
Reactions: nao
Ungekuwa umeshapata akili miaka ya 1979/80 ukashuhudia matokeo ya vita ile ya 78/79, leo ungeweza kutambua kuwa maisha magumu ya wakati huu ni matokeo ya utawal mbovu wa miaka mitano ya magufuli
.

Akili kisoda.
 
Tuwekee evidence kua alizinunua kupitia mshahara wake!! Ndipo uanze kutukana

Kwahiyo mnaposema kuwa Samia kafanya kazi ya ziada kununua hizi ndege, mnamaanisha kuwa katoa mshahara wake? Hebu na wewe tuletee huo ushahidi wako hapa.

Vitu vingine mnabisha ilhali vipo wazi kabisa, hizo ndege zimenunuliwa katika era ya uongozi wa dikteta JPM, na kila mtu anajua ila mpo hapa kuendekeza uchawa tu.

Hizo ndege zinanunuliwa kwa kodi ya Watanzania, ila ulipo si ajabu kukuta ni jobless ambae hata kodi hulipi na upo hapa kupiga kelele tu.
 
Viva JPM. Ndege kanunua JPM
Yes na ni jambo zuri sana! Maana zimenunuliwa kupitia kodi zetu!! Ila ingekua ni kupitia pesa binafsi za mtu ingepaswa awe kiongoz wa kuigwa duniani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…