The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Ndege inaenda safari za international tunaandika ngonjera za uswahilini hawa watu wetu wa international relations wanakuwaga wapi kushauri jamani kenya wanatupiga bao kizembe sana.Niende moja kwa moja!
Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je tatizo ni nini? View attachment 2646511
View attachment 2646512
Niende moja kwa moja!

aliekuambia kenya wanaanzika vizungu vyote nani? unajua faida ya kukitangaza kiswahili wewe?Ndege inaenda safari za international tunaandika ngonjera za uswahilini hawa watu wetu wa international relations wanakuwaga wapi kushauri jamani kenya wanatupiga bao kizembe sana.
Faida km huko inapoenda wajue hiko kiswahili na kiwe na maana ya kujitangaza sio politics..aliekuambia kenya wanaanzika vizungu vyote nani? unajua faida ya kukitangaza kiswahili wewe?
Tatizo ni ukifa,hauna thamani tena.Niende moja kwa moja!
Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je tatizo ni nini? View attachment 2646511
View attachment 2646512
Kwani mlikuwa na madhumuni gani?Kwahiyo uchumi wetu utaathirika je na kwa kubadili hayo maandishi?
With the same Logic, uchumi wetu utakua sasa kwa Maneno Kazi Iendelee?!Kwahiyo uchumi wetu utaathirika je na kwa kubadili hayo maandishi?
we kuna sehemu inakuwash ktk huo mwili wako, katafute mtu hapo karibu ukunwe. Huyo mbwa wenu ameshakufa, hii ndege imenunuliwa na mama na kauli yake ndiyo hiyo.Niende moja kwa moja!