Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,675
Reaction score
2,807
Niende moja kwa moja!

Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee).

Je, tatizo ni nini?

IMG_6528.jpg

IMG_6489.jpg
 
Niende moja kwa moja!

Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je tatizo ni nini? View attachment 2646511
View attachment 2646512
Ndege inaenda safari za international tunaandika ngonjera za uswahilini hawa watu wetu wa international relations wanakuwaga wapi kushauri jamani kenya wanatupiga bao kizembe sana.
 
aliekuambia kenya wanaanzika vizungu vyote nani? unajua faida ya kukitangaza kiswahili wewe?
 
aliekuambia kenya wanaanzika vizungu vyote nani? unajua faida ya kukitangaza kiswahili wewe?
Faida km huko inapoenda wajue hiko kiswahili na kiwe na maana ya kujitangaza sio politics..

sasa ndege inaenda uarabuni au china au state kupeleka cargo wewe umeandika kazi iendelee..
 
Si dhani kama Kuna tatizo?Hakuna mtu kati yao alietoa pesa zake mfukoni kununua hiyo ndege hata wangeandika “The Tommorow People” bado Kusingekua na tatizo. Ndege ni mali ya Watanzania sio ya mtu binafsi
 
Mmefanya photoshop

Hiyo ndege imetua tukishuhudia uwanjani ineandikwa Kazi Iendelee.
 
Hakuna jipya wala usishangae ni kawaida ya watu wavivu na incompetent kuiba ideas za wengine na kusema ni zao, kazi yote kafanya Magufuli wao wanakuja kuiba na kujimikikisha jasho na ideas za wengine, ni kawaida ya watu aina hiyo, lkn Watanzania siyo wajinga wanajua nani alikuja na wazo la kununua ndege za abiria na mizigo na hata contract ya kuzitengeneza kila kilishafanywa, …
 
Sioni tatzo hapo kwan bdo haiondoi asili ya hyo slogan unayotaka wewe maana kuendlea kw kazi ni muendelezo wa hpa kazi ikiwa na maana kutokuwepo kw muasisi wa hpa kazi tu basi kila kitu kisimame. Kuna namna musisi bdo tunamuenzi
 
Sijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".

Sijajua walikuwa na dhamira gani au waliwaza nini! Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.

20230320_113929.jpg
20230605_084824.jpg
 
Niende moja kwa moja!

Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je tatizo ni nini? View attachment 2646511
View attachment 2646512
we kuna sehemu inakuwash ktk huo mwili wako, katafute mtu hapo karibu ukunwe. Huyo mbwa wenu ameshakufa, hii ndege imenunuliwa na mama na kauli yake ndiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom