saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
aNdege inaenda safari za international tunaandika ngonjera za uswahilini hawa watu wetu wa international relations wanakuwaga wapi kushauri jamani kenya wanatupiga bao kizembe sana.
Nani alikua na madhumuni mimi sikushiriki wewe waulize walio badili hayo maneno.....mimi naona kama ni trivial issueKwani mlikuwa na madhumuni gani?
mwanaume mzima na mapumbu yako unafuatilia mambo madogo km hayo unajisikiaje. Ndio maana mmekuwa mashoga. Slogan ya serikali ya mama nduio hiyo, hiyo ya kwako amekufa nayo yule mfu wenu. Mfuateni aliko bado anatumia hiyo slogan yake. Nyie mnaishi km wafu wakati bado mko dunianiSijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".
Sijajua walikuwa na dhamira gani au waliwaza nini! Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.
View attachment 2646524View attachment 2646530
Kwanini yaho maneno hapa kazi tu. Yaliwekwa ya likua na umuhumu gani katika utendaji wa ndege kama sio ushambaWith the same Logic, uchumi wetu utakua sasa kwa Maneno Kazi Iendelee?!
Chawa ndio wanaharibu mambo!! Wanafikiri hatujui kuwa ndege hii ilinunuliwa wakati wa "Hapa Kazi Tu". 75% ya malipo yake yalifanywa cash wakati huo wa Hapa Kazi Tu, ndio maana ikaaza kutengenezwa instantly lasivyo isingeweza kutengenezwa mapema hivyo kwa kuwa Boeing wasingeanza kutengeneza upesi hivyo kwa kuwa wana order nyingi sana ila ukilipa cash unapewa first periority.Sijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".
Sijajua walikuwa na dhamira gani au waliwaza nini! Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.
View attachment 2646524View attachment 2646530
Hayo maneno yana maana gani, maana hiyo ndege sio mshahara binafsi wa kiongozi yoyote, yule aliyepita ama huyu, bali ni utashi wao binafsi. Katika mazingira hayo neno lolote ni sawa.Kwani mlikuwa na madhumuni gani?
Hopeless comment ever from shithole person!!mwanaume mzima na mapumbu yako unafuatilia mambo madogo km hayo unajisikiaje. Ndio maana mmekuwa mashoga. Slogan ya serikali ya mama nduio hiyo, hiyo ya kwako amekufa nayo yule mfu wenu. Mfuateni aliko bado anatumia hiyo slogan yake. Nyie mnaishi km wafu wakati bado mko duniani
Hapa kazi tuu ya kuua na kutesa watu imepigwa chiniSijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".
Sijajua walikuwa na dhamira gani au waliwaza nini! Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.
View attachment 2646524View attachment 2646530
Tani mwisho 54ivi ina uwezo wa kupakia korosho/mahindi/maharagwe gunia ngapi? ama tani ngapi?
Inabeba Tani 54 ila sio mazao inabeba soft cargo i.e boxes, medicenes, nguo, but not heavyweight sacks km vile cement, mahindi, mchanga n.kivi ina uwezo wa kupakia korosho/mahindi/maharagwe gunia ngapi? ama tani ngapi?
UchawaSijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".
Sijajua walikuwa na dhamira gani au waliwaza nini! Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.
View attachment 2646524View attachment 2646530
Kama awali iliandikwa "Hapa kazi tu" basi ina maana hii ndege ilikwishanunuliwa tayari hata kabla ya mwezi March 2021 ambapo kiuhalisia ndiyo ulikuwa mwisho wa kauli mbiu ya "hapa kazi tu" baada ya kufariki JPM na Kuapishwa mama Samia.Sijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee".