saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
hapa kazi tu ni ngonjera ya wapi, ya usukumani?
aNdege inaenda safari za international tunaandika ngonjera za uswahilini hawa watu wetu wa international relations wanakuwaga wapi kushauri jamani kenya wanatupiga bao kizembe sana.