Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ndege ni mali ya taifa kwanini iwekwe maneno ya vyama vya siasa? Je mtu asiye na chama ana nafasi gani?mwanaume mzima na mapumbu yako unafuatilia mambo madogo km hayo unajisikiaje. Ndio maana mmekuwa mashoga. Slogan ya serikali ya mama nduio hiyo, hiyo ya kwako amekufa nayo yule mfu wenu. Mfuateni aliko bado anatumia hiyo slogan yake. Nyie mnaishi km wafu wakati bado mko duniani
Kwa hiyo mnaendeleza ushamba ule ule???Kwanini yaho maneno hapa kazi tu. Yaliwekwa ya likua na umuhumu gani katika utendaji wa ndege kama sio ushamba
Alio azisha ushamba ndo tatizoKwa hiyo mnaendeleza ushamba ule ule???
NAMPONGEZA SANA MAMA KWA KUONDOA HILO NENO "HAPA KAZI TU"Sijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee...
Kumbe mwendazake ndio aligundua wazo la kununua ndege....Aisee kweli alikuwa geniousHakuna jipya wala usishangae ni kawaida ya watu wavivu na incompetent kuiba ideas za wengine na kusema ni zao, kazi yote kafanya Magufuli wao wanakuja kuiba na kujimikikisha jasho na ideas za wengine, ni kawaida ya watu aina hiyo, lkn Watanzania siyo wajinga wanajua nani alikuja na wazo la kununua ndege za abiria na mizigo na hata contract ya kuzitengeneza kila kilishafanywa, …
Mtoa mada si ndio analalamika, aliyemjibu anamuuliza rationale ya malalamiko yakeWith the same Logic, uchumi wetu utakua sasa kwa Maneno Kazi Iendelee?!
Tani 54 ziwe za mazao au nguo si uzito uleule tuInabeba Tani 54 ila sio mazao inabeba soft cargo i.e boxes, medicenes, nguo, but not heavyweight sacks km vile cement, mahindi, mchanga n.k
Ulitaka iandikweje?Faida km huko inapoenda wajue hiko kiswahili na kiwe na maana ya kujitangaza sio politics..
sasa ndege inaenda uarabuni au china au state kupeleka cargo wewe umeandika kazi iendelee..
Shukrani ya punda na binadamu wengine hawana kumbukumbu kaka huyo manzi wenuNiende moja kwa moja!
Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee).
Je, tatizo ni nini?
View attachment 2646511
View attachment 2646512