Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

mwanaume mzima na mapumbu yako unafuatilia mambo madogo km hayo unajisikiaje. Ndio maana mmekuwa mashoga. Slogan ya serikali ya mama nduio hiyo, hiyo ya kwako amekufa nayo yule mfu wenu. Mfuateni aliko bado anatumia hiyo slogan yake. Nyie mnaishi km wafu wakati bado mko duniani
Ndege ni mali ya taifa kwanini iwekwe maneno ya vyama vya siasa? Je mtu asiye na chama ana nafasi gani?
 
Nilifikiri umeandika kilugha kwa hasira.

Ila ilinifange nijeree hotuba ya Bunge ambayo Marehemu Rais Magufuli alifungua Bunge 2020 na pia nikarejea hotuba ya Rais Samia mwaka 2021 akifungua Bunge.
 
Nadhani hapa, kikubwa, Ndege ifanye kazi iliyokusudiwa kuimarisha Uchumi wa Tanzania. Na itumike professionally.

Siyo, ndege ipangwa kuondoka JKN Dar kwenda Amsterdam saa mbili kamili, waendeshaji wanaizuia kuondoka, kisa Kuna mzigo wa maparachichi wa kigogo Fulani haujafika. Hiyo hatakubalika!!!
 
Sijui walikuwa na madhumuni gani! Ila tu picha za kwanza zilizokatoka kipindi ndege ya mizigo Boeing 767-300F zilikuwa na neno "Hapa Kazi tu" kwa mbele kwenye neno Lake Tanganyika ila mambo yamebadilika baada ya kufika ikionekana ikiwa na neno "Kazi Iendelee...
NAMPONGEZA SANA MAMA KWA KUONDOA HILO NENO "HAPA KAZI TU"
 
Hakuna jipya wala usishangae ni kawaida ya watu wavivu na incompetent kuiba ideas za wengine na kusema ni zao, kazi yote kafanya Magufuli wao wanakuja kuiba na kujimikikisha jasho na ideas za wengine, ni kawaida ya watu aina hiyo, lkn Watanzania siyo wajinga wanajua nani alikuja na wazo la kununua ndege za abiria na mizigo na hata contract ya kuzitengeneza kila kilishafanywa, …
Kumbe mwendazake ndio aligundua wazo la kununua ndege....Aisee kweli alikuwa genious
 
Inabeba Tani 54 ila sio mazao inabeba soft cargo i.e boxes, medicenes, nguo, but not heavyweight sacks km vile cement, mahindi, mchanga n.k
Tani 54 ziwe za mazao au nguo si uzito uleule tu

Sema ndege inabeba vitu vyenye risk ya kuharibika mapema , ambavyo meli ingekuwa sio convenient

Nguo ni mzigo wa meli sababu hauna risk ya kuharibika
 
siku uchawa ukiisha TZ tutapiga hatua ndefu sana, unaweza kukuta hata namba 1 hajui hili.
 
Yule rubani wake nilibahatika kumuona wakati yuko mdogo alikuwa mwembamba sana
 
Kuna Madini, Hifadhi zote hizo, maziwa yote mpaka mito ila mmelikazania Jina hata waafrika wenzenu hawajui lina maana gani
Mnaumwa nyie
 
Back
Top Bottom