Ndege ya pili ya kivita ya USS Truman yaangukia baharini

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita.

Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS Truman bila kueleza sababu ya kushindwa kwake kutua.

Tayari meli hiyo ilikuwa inarudishwa nyumbani haraka kutokana na kupata athari nyingi wakati wa mapambano na wanamgambo wa Houth.

Inawezekana meli hiyo imeanza kukosa ukazi sawa (balance) ndani ya bahari huku wanamgambo wa Houth wakiwa wanaendelea kuifuata nyuma kwa makombora ya ballistic na droni wakinuia kuizamisha kabisha.

======================================

Another Navy fighter jet sank to the bottom of the Red Sea on Tuesday following the second such mishap aboard the USS Harry S. Truman aircraft carrier in just over a week, a U.S. official told ABC News.

The F/A-18 F fighter jet was attempting a nighttime landing onto the deck of the carrier when the crew was unable to stop it in time before going off the side, according to the official. When the “failed arrestment” of the aircraft became apparent, the two pilots ejected.

Both of the pilots were recovered and early indications are that they suffered minor injuries, the official said. No other injuries were reported.

The incident happened at 8:45 p.m. local time in the Red Sea, according to the official. It was not immediately unclear what led to the failed arrestment during the landing.

The incident is the fourth major mishap involving the carrier since it deployed last year, including when another F/A-18 jet fell off the side of the Truman just eight days ago. That jet was being towed in the hangar bay when the crew lost control of the aircraft, which then tumbled off the side along with the tow truck.

An investigation into the April 28 incident remains underway. F/A-18 jets cost some $70 million each.

Source: Yahoo News
 
Marekani imepoteza ndege nyingine chapa F/A-18 supper hornet,kwa madai ya kushindwa kutua kwenye meli vita ya uss truman na kupelekea rubani wake kujifyatua na kutumbukia baharini

Hata hivyo,watu wajuao suala hilo wanasema houthi wakiishambulia uss truman hapo jana tarehe 6 may licha ya trump kutangaza kuingia makubaliano na houthi ya kutoshambuliana wala kushambulia meli za mizigo za marekani
 
Nani huyo mpuuzi aliyekufundisha kwamba kivumishi ^overrated^ ni comparative?
Kidumu na mfagio primary school ndo zinazalisha watu kama nyie?
Screenshot_20250507-103815.png
 
Kidumu na mfagio primary school ndo zinazalisha watu kama nyie? View attachment 3326693
Mkuu, ungekaa kimya hakika ungeonekana una hekima.

Ila sasa umefumbua kinywa, ukatuthibitishia vinginevyo kabisa!

Kwa akili zako, ^more overrated na most overrated ni neno lilelile sawa na overrated?

Kubali tu kwamba haya mambo yako nje ya upeo wako.

Hata kukubali udhaifu ni nguvu!
 
Sasa jamaa, kwa mujibuwa mfano wako, huyo sister wako ni overrated kulinganisha na nani??

Neno overrated peke yake siyo comparative, ila likiwa "More overrated" ndo linakuwa comparative.

Au mkuu hujui Aina za Adjectives??
 
USA angekuwa yeye mwenyewe duniani neno overrated lisingetumika
 
Mkuu, ungekaa kimya hakika ungeonekana una hekima.

Ila sasa umefumbua kinywa, ukatuthibitishia vinginevyo kabisa!

Kwa akili zako, ^more overrated na most overrated ni neno lilelile sawa na overrated?

Kubali tu kwamba haya mambo yako nje ya upeo wako.

Hata kukubali udhaifu ni nguvu!
Mkuu kwa kiswahili kisicho rasmi ukisema USA is overrated maana yake ni USA inakuzwa sana. Unapo sema inakuzwa aunkupewa heshima/sifa asizo stahili maana yake wapo wengine ambao wanastahiki hizo sifa. So automatically inalinganisha na nchi nyinginezo. Usijifungie kwenye maana moja while kuna maana kimuktadha, kimatlaba n.k n.k
 
Duuu!!!! Hivi hawa wanafana na mgambo wetu?, je lingekua jeshi. Aibu nchi kama USA kusumbuliwa na mgambo.
Tusubiri kidogo habari za hii meli.Nahisi kama inaweza ikatangazwa kuwa ndege zote ilizobeba zitaingizwa kwenye meli nyengine wakati yenyewe ikielekea kuzama.
Safari ya kurudi Marekani ni ndefu sana kwa meli iliyoumia.
 
Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita.

Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS Truman bila kueleza sababu ya kushindwa kwake kutua.

Tayari meli hiyo ilikuwa inarudishwa nyumbani haraka kutokana na kupata athari nyingi wakati wa mapambano na wanamgambo wa Houth.

Inawezekana meli hiyo imeanza kukosa ukazi sawa (balance) ndani ya bahari huku wanamgambo wa Houth wakiwa wanaendelea kuifuata nyuma kwa makombora ya ballistic na droni wakinuia kuizamisha kabisha.

======================================

Another Navy fighter jet sank to the bottom of the Red Sea on Tuesday following the second such mishap aboard the USS Harry S. Truman aircraft carrier in just over a week, a U.S. official told ABC News.

The F/A-18 F fighter jet was attempting a nighttime landing onto the deck of the carrier when the crew was unable to stop it in time before going off the side, according to the official. When the “failed arrestment” of the aircraft became apparent, the two pilots ejected.

Both of the pilots were recovered and early indications are that they suffered minor injuries, the official said. No other injuries were reported.

The incident happened at 8:45 p.m. local time in the Red Sea, according to the official. It was not immediately unclear what led to the failed arrestment during the landing.

The incident is the fourth major mishap involving the carrier since it deployed last year, including when another F/A-18 jet fell off the side of the Truman just eight days ago. That jet was being towed in the hangar bay when the crew lost control of the aircraft, which then tumbled off the side along with the tow truck.

An investigation into the April 28 incident remains underway. F/A-18 jets cost some $70 million each.

Source: Yahoo News
Source yahoo!!!!!!!!!!!!! TAQIYYAH!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu mtoa mada hio F18 ni ya tatu kabla ya USA kupiga magoti kuomba poa.
 
Tusubiri kidogo habari za hii meli.Nahisi kama inaweza ikatangazwa kuwa ndege zote ilizobeba zitaingizwa kwenye meli nyengine wakati yenyewe ikielekea kuzama.
Safari ya kurudi Marekani ni ndefu sana kwa meli iliyoumia.
Wayahudi hawashindwi na jambo, watoto wa ya Kobo wale wanaweza wakaishusha engine wakaifunga ya JET, Two or 3 minutes hiyo USA au base jirani za ulaya au middle east.
 
Back
Top Bottom