Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini?
Au ndege hiyo ina matatizo/iko service?
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
Tuna kazi kubwa watanzania ya kujikwamua na hizi tawala za CCM.