Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwani mnamchagulia, tuseme Kwa mfano unasafari vipi ukichaguliwa basi la kusafiri nalo, bila shaka utajiuliza maswali kadhaa, Moja ikiwa ni pamoja na kwanini nisitumie usafiri wa chaguo langu ama Kwa sababu ni WA uhakika ama nafahamu ubora wa huduma zao na mengine lukuki.Inawezekana ipo service tena ya muda mrefu sana, Samia tangu aingie ikulu amekuwa akitumia ndege za mashirika tofauti kwa safari zake, sijawahi kuona akitumia ndege binafsi, kama yupo aliyewahi kumuona atujuze ilikuwa safari ya wapi na lini.
Tunatangaza brand zetu🤔.Tunawaonesha mabeberu kwamba tuna ndege mpya tulizo nunua cash sio kwa mkopo
[emoji38][emoji38][emoji38]Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini?
Au ndege hiyo ina matatizo/iko service?
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
Tuna kazi kubwa watanzania ya kujikwamua na hizi tawala za CCM.
Siyo kujikwamua na tawala za ccm sema tawala ya huyu mama. Ni wale ukipata kitumie ukikosa kijutie 😂. Ni mbadhirifu.Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini?
Au ndege hiyo ina matatizo/iko service?
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
Tuna kazi kubwa watanzania ya kujikwamua na hizi tawala za CCM.
Acha kucheka kinafiki[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii mramba alikula hela saivi anajisifu kwua yeye mjanja mtafutaji wakati ametumia dhamana ya madaraka vibayaNimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini?
Au ndege hiyo ina matatizo/iko service?
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
Tuna kazi kubwa watanzania ya kujikwamua na hizi tawala za CCM.
In the government revitalization plan of Air Tanzania in 2016, the government purchased six new planes through the Government Flight agency that are leased to Air Tanzania. In May 2016, the company purchased two Bombardier Q400s, that it received in September 2016.[5] In December 2016, the company further placed four more orders to acquire two Airbus A220-300, one Bombardier Q400 and one Boeing 787 Dreamliner.- wikipedia.Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini?
Au ndege hiyo ina matatizo/iko service?
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
Tuna kazi kubwa watanzania ya kujikwamua na hizi tawala za CCM.
Na je, ATCL wanalipwa, na zaidi wanalipwa kwa wakati kama serikali wanakodi hiyo ndege?
ile ndege inachukua abiria 15 tu, delagation ya Rais Samia haitoshi kwenye ndege hiyo. Mara ya mwisho 5H-ONE ilisafiri kutoka Instanbul Uturuki krudi dar es Salaam tarehe 20 December, na haijulikani ni afisa gani aliyekuwa anaitumia.Inawezekana ipo service tena ya muda mrefu sana, Samia tangu aingie ikulu amekuwa akitumia ndege za mashirika tofauti kwa safari zake, sijawahi kuona akitumia ndege binafsi, kama yupo aliyewahi kumuona atujuze ilikuwa safari ya wapi na lini.
Mbona mkapa na jk walitumia hiyohiyo?ile ndege inachukua abiria 15 tu, delagation ya Rais Samia haitoshi kwenye ndege hiyo. Mara ya mwisho 5H-ONE ilisafiri kutoka Instanbul Uturuki krudi dar es Salaam tarehe 20 December, na haijulikani ni afisa gani aliyekuwa anaitumia.