Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.


Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.



UPDATES
Hatimaye Waziri wa mambo ya nje Prof. Palamagamba Kabudi amekabidhiwa mzigo wa kutosha kabisa wa COV tayari kuuleta Tanzania kuanza kutumika kwaajili ya Covid 19.


 
Hii ni ndege rasmi ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Government Flight Agency (TGFA) Wakala wa Ndege za Serikali Muundo na aina ya Gulfstream G550.

Na ndege hiyo imefanikiwa kurudi na msaada

May 8, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Ndege rasmi ya Rais yatua na mzigo wa msaada wa dawa toka serikali ya Madagascar na Prof. Palamagamba Aidan John Kabudi kuwa mmoja wa waTanzania wa mwanzo kugumia dawa hiyo adhimu ya kiAfrika ya kupambana na coronavirus wanaosababisha gonjwa la hatari la Covid-19

Top Nigerian pharmacology expert caution about the herbal remedy from Madagascar

Source : Africanews

More info :

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…