Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

Ndege ya Rais wa Tanzania yatua Madagascar salama

1588940283236.png
 
Ee, Bikira Maria mkingiwa wa dhambi ya asili, muombee kipenzi chetu rais mwenye mapenzi ya dhati na nchi yetu! Ameen!

Tunaukimbilia ulinzi wako, .............
 
Hiyo chanjo ya dawa ambayo haijathibitishwa wakaijaribu jwanza chato kwa muda wa miezi miwili ndo waipeleke kwingineko
 
Hii ni ndege rasmi ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Government Flight Agency (TGFA) Wakala wa Ndege za Serikali Muundo na aina ya Gulfstream G550.

More info :
Toka maktaba / archive online mwaka 2019 muonekano wa ndege rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayomilikiwa na serikali kupitia Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) iIipotua Songwe international airport Tanzania

ANGALIA JINSI NDEGE NDEGE YA RAIS MAGUFULI ILIVYOTUA MBEYA SONGWE LEO GULFSTREAM G 550
kwa hio ilipotoka Madagascar ndio imeenda Songwe kupeleka mzigo
 
Naona kupiga nyungu kumefeli,sasa tunatest kitu cha madagascar!Ikishindwa tunajaribu kula cha Arusha!Mgonjwa hachagui dawa!
 
Back
Top Bottom