Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Hayo majani muwe makini sana msije mkabeba na nyoka anakonda.Nikafikiri "raisi wa tz atua Madagascar salama"
Safi sana ng'oeni siti zote jazeni dawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo majani muwe makini sana msije mkabeba na nyoka anakonda.Nikafikiri "raisi wa tz atua Madagascar salama"
Safi sana ng'oeni siti zote jazeni dawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Not Chato?kwa hio ilipotoka Madagascar ndio imeenda Songwe kupeleka mzigo
😅😅kingNikafikiri "raisi wa tz atua Madagascar salama"
Safi sana ng'oeni siti zote jazeni dawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.
View attachment 1443706
Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
View attachment 1443715
Maana yake ni nini?Dua la kuku kamwe halipati mwewe
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Asiyejua maana hambiwi maanaMaana yake ni nini?
Kwani wite hao 57 milioni wanaumwa ndg? Inabeba za kutosha angalau za kutosha watu walio kwenye hatua mbalimbali za tiba ya ugonjwa na ziada kidogo kwa ajili ya wagonjwa wapyaHicho kitoroli kitaweza kubeba dawa za kutosha watu 57 million?
Hizi hela tunazotumia kwenye upumbavu zingenunua PPE ngapi?
Huo uchafu ukija wanywe wao na familia zao
Mimi niko radhi kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashujaa wa mitandaoni chumbani mnapiga nyungu kama hamna akili.nzuriikirudi ipitilize Chato moja kwa moja
duh safi sana, tuleteeni iyo dawa tuigide ila nadeclare interest naomba ipelekwe kwanza chattels ili jamaa anywe kisha ajitokeze, tumemmisi sana wajamenImeshatua wakuu, tusubirie dawa.
View attachment 1443706
Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
View attachment 1443715
Wewe jitahidi upambane na ya kwako, maana kuyaongelea ya wengine wakati ya kwako hujui kesho yataamka vipi ni sawa sawa tu na kushika mawili.Kwani kule kujifusha kumeendaje??
Wahenga walisema mshika mawili, yote humponyoka!
MAGUFULI ndo mbabe wa mabebere ,BAVICHA wanapata tumbo la kuhara wakimwonaMagu mbabe sana
kama haitoshi katuma ndege ya rais
dadeq zake WHO.!
Hivyo shobo za nini mama? Kaa kushoto fata mambo yako.Asiyejua maana hambiwi maana
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
1.kaonesha umuhimu kwa kutoa ndege rasmi ya RaisMagu mbabe sana
kama haitoshi katuma ndege ya rais
dadeq zake WHO.!
Kwa lipi?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Umenivutia na lako kalio bidadaHivyo shobo za nini mama? Kaa kushoto fata mambo yako.
Hivi alikuwa serious kutuletea dawa kutoka Madagascar?Imeshatua wakuu, tusubirie dawa.
View attachment 1443706
Hao hapo madaktari wetu bingwa ambao ni ujumbe kutoka Tanzania wakiwa Antananarivo.
View attachment 1443715
Na mimi nashangaa kusikia mzigo umepelekwa mbeya, ambapo wagonjwa wapo 2, na nadhani walishapona. Au wamesikia Mbeya wanapenda sana witchcraftNot Chato?